Acha kuhubiri ushetwani wewe.... Hiyo risala nenda kawasomee wadogo zako.Dogo ishi nalo kwa akili hilo kisha hakikisha unajilimbikizia mali home kwa kuwekeza kwa ndugu kisha akianza kuwa na makunyanzi unatoa talaka unaoa mlokole mbichi
Hahaha ukitaka kucheka ingia jf nishiidaNi kweli..! Lakini sio kwa huu mfupa uliomshinda fisi.!
Kweli kuna "kukojozwa" mtu kweli hapo.?![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duh, wabongo cwawezi yan hadi pipe size ya dogo mnaijua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Madame Frola kampendea dogo pipe, nasikia anaundugu na punda dogo
Hapana, fahari ya macho tu, hafilisi duka!Ndio hivyo kucheat kawaida,,nawe umekuwa overheating
Kwa dunia ya sasa ulokore weka pembeni na maswala ya mapenziMmmmh jamani
Nimekua na sasa nayaona
Hivi walokole toka lini wameanza kufunga ndoa Mara mbili mbili?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] amekubali mwenyewe acha abakweMaskini kaka Wa watu anaenda kubakwa
[emoji23][emoji23][emoji23] asee we noma kwa iyo wslila woteWalilala pia mi nilikua reception cku iyo
Kuolewa mara mbili si hoja hoja ni kuolewa na mtoto mdogo ndio nini kama si kuharibu watoto wa wenzake?! Aibu aibu halafu eti mlokole uchafu mtupu! Kwani Peter naye mtoto mdogo aliyemzalisha mtoto wa mwisho hakufa kumuwowaaa?! Kha ulokole huu watakaochomwa wengi haluuu!Mmmmh jamani
Nimekua na sasa nayaona
Hivi walokole toka lini wameanza kufunga ndoa Mara mbili mbili?
Nionyeshe maandiko ndani ya Biblia Takatifu au Quran Tukufu inaposema anaeolewa au kuolewa na mtu aliyemzidi umri hatauona ufalme wa MbinguniHalafu huyu kijana si km mdogo wake tu
Hivi shem kaka yangu wa JF ni mkubwa sana kwako??[emoji53][emoji53][emoji53]Mbona kama katoto kwa Flora?Au macho yangu?
Anamuangalia kwa kumuheshimu sijui ataanzaje kumvua!Kaka hayupo comfortable kabisa. Kama kakaa na dada yake.
Ndoa njema kwao!!
Kumebemendwa ndio nini?Mbona kama jamaa amebemendwa!!.......au macho yangu!![emoji53][emoji53][emoji53]
Acha tu ikakwanguliwe kaupeleNdio hivyo k inamuwasha sanaa