Kumbe Bashiru Ally, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ni Mwanachama wa CUF?

Kwenye siasa za tanzania chini ya ccm hoja kwa hoja hiyo kitu ilishazikwa kitambo
 
Siku Tanganyika itakapo jitambua na kupata serikali na Rais wake ndipo zimwi hili litakapofikia ukomo wake. Ni jambo la kutumainisha kusikia Prof Kabudi na Polepole walitaka serikali tatu. Kiongozi mstafu mwandamizi anaomba mdahalo wa kitaarabu na Polepole.
 
Mkuu kutokana na shughuli zangu za kila siku nilijikuta nafika nyumbani kwa Bulembo .

Ni pale ukitoka Omukajunguti kuna kutuo cha afya kinamilikiwa na roman Catholic na kijiji cha kina Bulembo pia kinaitwa hivyo hivyo jina la Bulembo.
 
Bashiru ni moja ya mapandikizi toka nchi jirani yaliyoingizwa kwenye mfumo wetu ili Tanzania iende chini ya empire ya wale watu!

Ndugu yake Mburundi mwenzie alimteua hadi kuwa Katibu Mkuu kiongozi ili rasmi Tiss iendeshwe na pandikizi la nchi jirani!

Bashiru sio tu alikuwa cuf Ila sio raia wa Tz
 
Unajua gharama za kuendesha serikali 3 wewe? Hao kabudi na polepole wanatoa hela zao mfukoni kuendesha iyo serikali ya 3??
 
Ni lini kakoko amekutwa na kashfa za uizi .tuache kushabia vitu
Mnabisha tu lakini hamna mnachokijua. Hukusoma ripoti ya CAG 2019/20?

 

Kwenye Utawala Wa Meko Chochote Kiliwezekana
 
hata Magufuli alisema Bashiru ni kutoka Cuf
 
Kifo cha dikteta kimesaidia sn kujua maovu mengi
 
Chadema si ndo washamba kabisa mtu atoke CCM wamfanye agombee uraisi kwa chama chao hata mwaka hajamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…