unamaana hana nyumba, gari pesa nk inamaana zile Show zote ni feki L, TV Radio fake, Wcb ni fake wasanii waliochini tae ni midori au mimi ndio sielewiMkuu kweli wewe haujui kitu ,una uhakika magari ni yake? Hivi unawajua wasaniii kweli wewe? Achana na tantalila za wasanii.
Ukishawaelewa wasanii hupati tabu ndugu hivyo quote unavyojiuliza ngoja mda ndio uamue mana siku zote tunaambiwa mda ni mwamuzi mzuriunamaana hana nyumba, gari pesa nk inamaana zile Show zote ni feki L, TV Radio fake, Wcb ni fake wasanii waliochini tae ni midori au mimi ndio sielewi
Basi kwamantiki hii Tz hakuna mwenye pesa
unamaana hana nyumba, gari pesa nk inamaana zile Show zote ni feki L, TV Radio fake, Wcb ni fake wasanii waliochini tae ni midori au mimi ndio sielewi
Basi kwamantiki hii Tz hakuna mwenye pesa
Mzee baba una mentality ya kimasikini sanaHauwezi kuelewa.....Hata Harmorapa naye anamiliki wasanii.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNawaona wanaume kama mabinti humu
Anasema wakati wote akitaka ananunua ndegeMkuu kweli wewe haujui kitu ,una uhakika magari ni yake? Hivi unawajua wasaniii kweli wewe? Achana na tantalila za wasanii.
Mzee baba una mentality ya kimasikini sana
Anasema wakati wote akitaka ananunua ndege
Jamaa hela anayo [emoji2][emoji2]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
No, amejenga kwenye kiwanja cha mama'ake Madale. Mama yuko na Ben10, yeye na Zari, dada zake na vijamaa vyao humo humo, akaona isiwe tabu, akaenda kupanga....eti kanunua hoteli lakini anapanga, eti anaingiza 500m kwa mwezi, upuuzi tuLakini mkuu hiyo ishu ya kupanga ni kweli au propaganda ?kweli diamond hadi leo hajajenga? Kama hajajenga kuna something wrong
Sijasema namdharau kwenye post yangu just nimekoment ukweli,Mtu amiliki magar ya kifahar namna , Ile awe na vituo vya redio , afanye show nje ya nchi dozen na dozen , ashindwe kujenge nyumba ??? Au tunapenda Tu kumdharau kijana wa watu ....
MadaleLakini mkuu hiyo ishu ya kupanga ni kweli au propaganda ?kweli diamond hadi leo hajajenga? Kama hajajenga kuna something wrong
Mtu aingize 500m per month achemke kutoa 5m per month kwa ajili ya malezi ya mwanae!No, amejenga kwenye kiwanja cha mama'ake Madale. Mama yuko na Ben10, yeye na Zari, dada zake na vijamaa vyao humo humo, akaona isiwe tabu, akaenda kupanga....eti kanunua hoteli lakini anapanga, eti anaingiza 500m kwa mwezi, upuuzi tu
Rozi rozi gan tena jaman..... C tulsema tutatumia boda tu hi 2021[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mnajua Mil 400 kweli au huwa mnaandika tu?
Zaidi ya Miaka 6 ameshindwa kuleta Rozi Rozi amebakiza porojo tu ila ni technik nzuri sana ya kuwapanga wadhamini wakija ili waje vizuri.
Mtu mwenye pesa angalia nyumba yake tu,sasa mtu mwenye pesa kweli anaendelea kupanga? Kama anaingiza mil 55 kwa wiki ,ameshindwa kabisa kununua beach plot ya mil 600 na kuweka mansion?
Tajiri anashindwa kumpa baba yake mlezi hata ka raum atembelee?