Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

nyie fanyeni mfanyayo, semeni msemayo na mbinuke lkn all in all mchizi anayo pesa.kazitafuta now Acha ajitambe hata kama anadanganya. chakufanya kwa sisi wengine tuvute viti, tukae then tunywe maji and finally tusuke mipango ya kutafuta za kwetu na sisi tuje tudanganye... 🚮
 
Huyu jamaa hela tunakubali anayo. Ila tatizo anawanywesha sana chai ya rangi mashabiki mashabiki.
 
Nonsense Hata billgate kuna watu kibao nyuma yake sisi tunaangalia anapata ngapi
Watu walioko nyuma ya billgate wanamuangalia kama boss wakati diamond hao watu ye ndio maboss zake. Hiyo inamaanisha kwamba swala la mgao linategemeana na mode ya boss siku hiyo boss kaamkaje

Hili tumeliona kwa wengi wadananda hasa hawa wabongo fleva wazee wa kufake, eti ooh sijui "msanii hautakiwi kuonekana sana utapoteza brand"

brand au brandina? Mbona kina mawenge, dizasta tunaishi nao street kiaina

Kunawasaidia nini kufake maisha mseme mnapesa mingi wakati waleti inabisha? Sasa hao mamluki wake almost karibia wote wameshindwa kumudu kodi ya nyumba...ni aibu
 
Huyu jamaa hela tunakubali anayo. Ila tatizo anawanywesha sana chai ya rangi mashabiki mashabiki.
Hela yenyewe imetiwa nakshi na mashabiki naye kapagawa na promo kapaita mpaka kwao eti anataka anunue private jet...how?
 
Watu walioko nyuma ya billgate wanamuangalia kama boss wakati diamond hao watu ye ndio maboss zake. Hiyo inamaanisha kwamba swala la mgao linategemeana na mode ya boss siku hiyo boss kaamkaje

Hili tumeliona kwa wengi wadananda hasa hawa wabongo fleva wazee wa kufake, eti ooh sijui "msanii hautakiwi kuonekana sana utapoteza brand"

brand au brandina? Mbona kina mawenge, dizasta tunaishi nao street kiaina

Kunawasaidia nini kufake maisha mseme mnapesa mingi wakati waleti inabisha? Sasa hao mamluki wake almost karibia wote wameshindwa kumudu kodi ya nyumba...ni aibu
Juzi kasema ukipata view one million YouTube bas unapata around 900K up to 1000K , video ya waah ina view 37Mil , IT wao karopoka imeingiza 90 Mil mpak sasa , jamaa wamekaa kiongo ongo sana
 
Nasoma comments za maskini wenzangu, naona jinsi tulivyo na dharau..😀😀
 
Juzi kasema ukipata view one million YouTube bas unapata around 900K up to 1000K , video ya waah ina view 37Mil , IT wao karopoka imeingiza 90 Mil mpak sasa , jamaa wamekaa kiongo ongo sana
huoni kasoro hapo, kulingana na maelezo yako imeingiza 90M hajasema Kipitia YouTube hapo bali YouTube ipo ndani kama moja wapo ya njia.
 
Watu walioko nyuma ya billgate wanamuangalia kama boss wakati diamond hao watu ye ndio maboss zake. Hiyo inamaanisha kwamba swala la mgao linategemeana na mode ya boss siku hiyo boss kaamkaje

Hili tumeliona kwa wengi wadananda hasa hawa wabongo fleva wazee wa kufake, eti ooh sijui "msanii hautakiwi kuonekana sana utapoteza brand"

brand au brandina? Mbona kina mawenge, dizasta tunaishi nao street kiaina

Kunawasaidia nini kufake maisha mseme mnapesa mingi wakati waleti inabisha? Sasa hao mamluki wake almost karibia wote wameshindwa kumudu kodi ya nyumba...ni aibu
una ushahidi wa kutuonesha
 
HiHuyu huyu ambaye nyumba anayoishi / amepanga, mwenyewe kaamua kuiweka sokoni huku mpangaji akiwa ndani?
Yawezekana hizo pesa analipwa kweli ila itakuwa ni jumla ya pesa zake zote za endorsements pamoja na za airtime ya hayo hayo matangazo kuruka Wasafi fm na TV.

Sasa kwa kuwa jamaa ni mtu wa sifa na kuvimba anasema analipwa yeye kwaajili ya endorsements.
 
Haukosawa kwani endorsement sialikuwanazo kabla hakuna kitu kinaitwa Wasafifm sisi tunataka endorsement tu hizi hazihusiani na wasafi bali Brand yake binafsi zinapewa airtime TV yoyote ile na endapo airtime itakuwa wasafifm Diamond lazima atakuwa na asilimia yake before na amount ya wasafi haihusiani na hiyo amount binafsi Diamond si mpuuzi.
 
Msanii wa Bongofleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema kila mwezi huingiza Sh200 milioni kutokana na kuingia mikataba na kampuni mbalimbali kuwa balozi wa bidhaa zao.

Akizungumza katika kipindi cha TheSwitch kinachorushwa na redio ya Wasafi leo Alhamisi Januari 28, 2021, Diamond amesema fedha hizo ni mbali na zile anazoingiza kupitia muziki.

Amebainisha kuwa anaingia mikataba na kampuni na amekuwa akifanya hivyo kwa kila kampuni inayohitaji huduma yake.

“Endosment zangu mimi mshahara wangu kwa mwezi si chini ya milioni 200, na tunasaini mikataba kila siku. Ninaingiza kwa wiki Sh55 milioni kwa siku Sh7 milioni kwa saa moja Sh300,000 na kwa sekunde Sh6,000.”

Amesema mwaka 2021 fedha anazozipata katika eneo hilo huenda zikaongezeka kwa kuwa anatarajia kuwa balozi wa vitu vingi zaidi kwa kuwa ameamua kufanya muziki kuwa kazi na biashara.

View attachment 1689019
=====

Ina maana hii ni kwa endorsement za matangazo tu
Wasanii wanaishi kisanii tu
 
Back
Top Bottom