King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Yale Magari ni ya kwake. Kuna kampuni anakatia Insurance naijua kadi za gari zina umiliki wa kwake.
Dai kuna wakati huwa ananikasirisha ila kwenye hili nimtetee tu.
Sawa nilikuwa nauliza kupata uhakika maana wasanii wanamiliki magari bila kadi yaani mali kauli, ila kama umeona kadi zake basi sawa.