Eti wanaombewa na waziri. Haaa haaYanga si imetolewa ombi maalumu kwa ajili ya kushiriki hili kombe
Ombi lao limeshindikana?
Performance ya miaka 5, hiyo Mazembe ni mbovu miaka hii miwili, na ndio maana ikaja ishu ya kuzipa timu hizo kitita cha fedha za maandalizi, ikiwa ni pamoja na kusajili wachezaji wazuri. Usishangae kuona Mazembe inakuja na sura nyingine kabisa baada ya kupewa fedha za maandalizi. Kwa ufupi, hii ni ligi ya fedha fedhaHizi ni timu nane ambazo zimepewa nafasi ya kushiriki super league.
1) Tp Mazembe
2) Es Tunis
3) Petro Luanda
4)Horoya
5)Simba
6) Wydad
7) Mamelod
8) Al Ahly
Wakati mashindano haya yanazinduliwa, Simba waliinasibu kuwa ni mashindano ya timu bora tupu ndio zinazoshiriki hayo mashindano, lakini Mazembe alivyofungwa na Yanga nje ndani mkaidharau Mazembe kuwa ni timu mbovu. Kumbe super league zinachukuliwa hadi timu mbovu.
Kwa ufupi was akili yako unadhani wanaangalia mechi moja au mbili.Hizi ni timu nane ambazo zimepewa nafasi ya kushiriki super league.
1) Tp Mazembe
2) Es Tunis
3) Petro Luanda
4)Horoya
5)Simba
6) Wydad
7) Mamelod
8) Al Ahly
Wakati mashindano haya yanazinduliwa, Simba waliinasibu kuwa ni mashindano ya timu bora tupu ndio zinazoshiriki hayo mashindano, lakini Mazembe alivyofungwa na Yanga nje ndani mkaidharau Mazembe kuwa ni timu mbovu. Kumbe super league zinachukuliwa hadi timu mbovu.
Lete record ya mazembe kwa hiyo miaka mitano wamevuna kipi? Kati ya Mazembe na Al Hilal ni timu ipi imeonesha performance nzuri kwa misimu mitano?Kwa ufupi was akili yako unadhani wanaangalia mechi moja au mbili.
Wanaangalia ulifanya nn angalao misimu 5 iliyopita.
Usidhani Ni kirahisi rahisi tu.
Halafu utopolo sijui kwa Sasa mnajiona sijui Ni wakaona Nani vile.
Wewe acha kukaza ubongo hizo timu zimechukuliwa kikanda pia... Yan kila kanda imechukuliwa timu yenye hiyo perfomance bora.Lete record ya mazembe kwa hiyo miaka mitano wamevuna kipi? Kati ya Mazembe na Al Hilal ni timu ipi imeonesha performance nzuri kwa misimu mitano?
Huyo Horoya ndio kabisa ameishia group stage tu kwa record ya hivi kariibuni