JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Unajua kona sio kona leo!. Ile penalti ya nje ya Box ya Kisinda mmeisahau mara hii. Ile penalti dhidi ya Geita, kwa nini hamkukataa kupiga na mkaja kushangilia ushindi!? By the way, mabeki wako walikuwa wapi kukaba mpaka mkafungwa!? Au beki yako ni takataka.Tafuteni hela Vijana! Too much talking of kubishana Simba na Yanga!
Simba ni timu mbovu Haina kombe lolote hata kama imeibahatisha kuifunga Yanga ikienda kwa Wydad safari imeishia hapo, huko Super cup ni aibu tupu inakuja maana nguvu za Giza zimeisha baada ya kushinda derby ya mchongo kona Si Kona halali mpira umeanzishwa bila filimbi ya Refa aliekuwa kageukia kwingine akitoa maelekezo lengo kuvizia Yanga hawajajipanga na ni hakuna VAR goli lingefutwa na mechi ingekuwa tofauti hata huyo kibu asingefunga mnamsifia hata robo ya Mayele Bado , Yanga walipoteana tu kwa goli la mchongo liliwachanganya!
Kelele kibaooo tu wakati ni kipofu kaona mwezi, masikini akipata bwana m... Hulia mbwata and every dog 🐶 has his day!! Tangu 2019 ni kipigo tu kwa Mnyama hadi vijana wa Yanga wakaiona Simba kama Majimaji ndicho kiliwacost sio ubora wa Simba Bali uzembe na dharai za Yanga, wenye akili tunajua !!
Huko super cup na CAF champions league Simba ni kenge tu that is the fact!! Hakuna record yoyote kubwa ya Simba
Ushindi WA derby ya mchongo vijana hata kazi hawafanyi Tena wengi wamepata ajali kibao za magari na bodaboda kusherehekea kupata kombe la kuifunga Yanga! Stupid
Ila msilie sana, maana mume wenu Wydad si yupo! Atawapambania tu. Naamini Manara hakukosea alivyosema "wenye akili hapo utopolo ni wawili tu". Stupid.