ACT imewauma nini?Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea. Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.
Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.
Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.
View attachment 2537619
Inaelekea ACT-WAZALENDO adui wao mkubwa ni Chadema na sio chama tawala. Wao wanachotaka ni kuwa chama kikuu cha upinzani, sio chama tawala. Badala ya kusema tu kuwa Chadema wamepokea ruzuku wangeweka ushahidi wa tuhuma hizo. Aidha, hata kama ni kweli tuhuma hizo, kuna ubaya gani kupokea sehemu ya stahili yao kama ni sehemu ya maridhiano?Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea. Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.
Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.
Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.
View attachment 2537619
Sababu za kuikataa ruzuku zimebadilika?Inaelekea ACT-WAZALENDO adui wao mkubwa ni Chadema na sio chama tawala. Wao wanachotaka ni kuwa chama kikuu cha upinzani, sio chama tawala. Badala ya kusema tu kuwa Chadema wamepokea ruzuku wangeweka ushahidi wa tuhuma hizo. Aidha, hata kama ni kweli tuhuma hizo, kuna ubaya gani kupokea sehemu ya stahili yao kama ni sehemu ya maridhiano?
Amandla...
Lengo ni kuijulisha dunia kuwa Chadema ikifika kwenye pesa wapo tayari kuweka misimamo yao yote pembeni. Ni wazuri sana kwenye kulamba asali.Kwa hiyo lengo la hii press ni nini? Hapo ndio utaona kazi hasa ya ZZK kwa upinzani ni ipi, si kujenga bali kubomoa tangu mwanzo ...
Kwa ACT wamekuwa wasemaji wa CHADEMA ... This is too low for you guys ...Lengo ni kuijulisha dunia kuwa Chadema ikifika kwenye pesa wapo tayari kuweka misimamo yao yote pembeni. Ni wazuri sana kwenye kulamba asali.
Kwanza thibitisha kuwa wamepokea hiyo ruzuku maana sio mara ya kwanza kuambiwa na wqpinzani wao kuwa wanapokea ruzuku.Sababu za kuikataa ruzuku zimebadilika?
Kwenu nyie hilo sio tatizo maana hamna msimamo wa kuweka pembeni.Lengo ni kuijulisha dunia kuwa Chadema ikifika kwenye pesa wapo tayari kuweka misimamo yao yote pembeni. Ni wazuri sana kwenye kulamba asali.
Yes zimebadilika Hawala yako Magufuli ameshafariki.Automatically things changedSababu za kuikataa ruzuku zimebadilika?
Teh teh teh ππ siasa za Tanzania ni comedy tosha teh teh πππ....Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea. Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.
Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.
Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.
View attachment 2537619
Baada ya Magufuli kufa ile haramu ya uchaguzi sasa imegeuka halali?Yes zimebadilika Hawala yako Magufuli ameshafariki.Automatically things changed
Sasa wewe ulitaka muwe mnapokea ruzuku kimya kimya huku mkituzuga kuwa hampokei?Kwa ACT wamekuwa wasemaji wa CHADEMA ... This is too low for you guys ...