Kumbe CHADEMA wameanza kupokea ruzuku kimya kimya na hawasemi?

happyxxx

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
604
Reaction score
1,970
Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea.

Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.

Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.

Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.

20230305_071122.jpg
 
Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea. Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.

View attachment 2537619
ACT imewauma nini?
 
Inaelekea ACT-WAZALENDO adui wao mkubwa ni Chadema na sio chama tawala. Wao wanachotaka ni kuwa chama kikuu cha upinzani, sio chama tawala. Badala ya kusema tu kuwa Chadema wamepokea ruzuku wangeweka ushahidi wa tuhuma hizo. Aidha, hata kama ni kweli tuhuma hizo, kuna ubaya gani kupokea sehemu ya stahili yao kama ni sehemu ya maridhiano?

Amandla...
 
Sababu za kuikataa ruzuku zimebadilika?
 
Lengo ni kuijulisha dunia kuwa Chadema ikifika kwenye pesa wapo tayari kuweka misimamo yao yote pembeni. Ni wazuri sana kwenye kulamba asali.
Kwenu nyie hilo sio tatizo maana hamna msimamo wa kuweka pembeni.

Amandla...
 
Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea. Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.
Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.
Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.

View attachment 2537619
Teh teh teh 😂😂 siasa za Tanzania ni comedy tosha teh teh 😂😂😂....

Cdm wanakula haramu waliyoikataa kimya kimya huku Act wanaizodoa Cdm ambao ni wapinzani wenzao wakati adui yao ni mmoja au kwa kuwa ni sehemu ya serikali huko Zenji ?

JokaKuu zitto junior brazaj
 
Kwa ACT wamekuwa wasemaji wa CHADEMA ... This is too low for you guys ...
Sasa wewe ulitaka muwe mnapokea ruzuku kimya kimya huku mkituzuga kuwa hampokei?
Asante ACT kwa kutusaidia kujua unafiki wa chadema 💪
Chadema, please toeni kauli ya kutambua ubunge wa da Halima na wenzake, siyo mnapokea ruzuku za ubunge wao kimya kimya huku mkidanganya kuwa siyo wanachama wenu.
 
Chadema ni chama cha kitapeli.

Hayo ndio maridhiano waliyokubaliana Samia na mbowe, mbowe alitaka hela, Samia kampa hela sasa mbowe kazi yake ni moja tu kumtukana Magufuli.

Lisu karudi Ubelgiji, Lema kaacha familia yake Canada, Lisu familia yake iko Marekani.

Mbowe usishangae familia yake iko Dubai.

Hao ndio wanataka kutuletea maendeleo. Hii nchi iwapo inawategemea watu kama hao basi hakuna matumaini tena.
 
Back
Top Bottom