happyxxx
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 604
- 1,970
Inasikitisha sana kuona Chadema wanakula matapishi kama tulivyozoea.
Walisema chochote kilichotokana na uchaguzi wa 2020 ni haramu ikiwemo ruzuku.
Sasa wanalamba asali ya mama wanapokea ruzuku mil 800 na inatafunwa kimya kimya pale ufipa Mbowe na kikundi chake kilichojimilikisha chama.
Bado kuwa halalisha wale wabunge 19.
Nyerere aliwahi sema watu fulani fulani kamwe wasipewe nchi wana tamaa sana ya pesa wapo tayari kuuza utu wao mbele ya pesa.