Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Mbona mapigo yao kama ndugu zetu wa kanda ya ziwaHivi neno la Kiswahili hasidi lilitokana na hawa jamaa nini? Kuna hawa Wayahudi wenye misimamo mikali sana ya kidini. Wanaamini wao ndiyo wateule na kila mtu duniani yupo kwa ajili ya kuwatumikia wao. Kwa namna fulani naelewa kwa nini Wayahudi walikuwa Persecuted huko Ulaya.
Huwezi kuwa disrespectful namna hii kwa watu. Hawana kabisa uvumilivu wa kidini. Hii video hapa chini inaoonyesha wakiwapita watawa na kutema mate kwa dharau.
Wakristo huwa wanajizima data.Hivi neno la Kiswahili hasidi lilitokana na hawa jamaa nini? Kuna hawa Wayahudi wenye misimamo mikali sana ya kidini. Wanaamini wao ndiyo wateule na kila mtu duniani yupo kwa ajili ya kuwatumikia wao. Kwa namna fulani naelewa kwa nini Wayahudi walikuwa Persecuted huko Ulaya.
Huwezi kuwa disrespectful namna hii kwa watu. Hawana kabisa uvumilivu wa kidini. Hii video hapa chini inaoonyesha wakiwapita watawa na kutema mate kwa dharau.
Mpaka leo wao wanatambua sheria za Musa tu.Wakristo huwa wanajizima data.
Wayahudi wote wanawachukulia wakristo kuwa ni WAPAGANI (Polytheists).
Wayahudi hawaamini kuwa Yesu ndiye Masihi wa aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya Wana wa israel.
Wayahudi hawakubaliani na kauli kuwa Yesu ni mwana wa Mungu/Mungu..na humchukulia yeyote anayesema au kuamini maneno hayo kuwa ni Mpagani.
Wayahudi hawaamini katika msalaba, ukombozi kupitia damu ya Yesu,Utatu mtakatifu na vilevile hawali Nguruwe)
Wayahudi kiimani wapo karibu sana na Uislam kuliko ilivyo kwa Ukristo
Wayahudi wa matombo msalabani tutampelekea ndugai mikungu ya ndizi ampelekee yesu na mke wakeTupo hapa mkuu wayahudi tulio zaliwa matombo morogoro
na tupo tayar kufa kwaajili ya Taifa letu TEULE
Umemaliza vibaya.Wakristo huwa wanajizima data.
Wayahudi wote wanawachukulia wakristo kuwa ni WAPAGANI (Polytheists).
Wayahudi hawaamini kuwa Yesu ndiye Masihi wa aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya Wana wa israel.
Wayahudi hawakubaliani na kauli kuwa Yesu ni mwana wa Mungu/Mungu..na humchukulia yeyote anayesema au kuamini maneno hayo kuwa ni Mpagani.
Wayahudi hawaamini katika msalaba, ukombozi kupitia damu ya Yesu,Utatu mtakatifu na vilevile hawali Nguruwe)
Wayahudi kiimani wapo karibu sana na Uislam kuliko ilivyo kwa Ukristo
tunasubiria siku ifikeWayahudi wa matombo msalabani tutampelekea ndugai mikungu ya ndizi ampelekee yesu na mke wakeView attachment 2611110
Wayahudi hawajui kuwa wao ni reject.........Mie nawashangaa sana wanaoshobokea wayahudi imani ipo moyoni na sio kwenye kundi fulani la watu
Kiufupi watu wa dini nyingine zote mnajipendekeza tu kwao, wala hawana habari kabisa na ukristo wala uislamAjabu kuna ndugu zako wamezaliwa kyela na Tandale wanaweka bendera za Israel kwenye nyumba za Ibada na magari...