Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Katika imani ya kumpwekesha Mungu (monotheism) , Uyahudi na Uislam upo sawa kabisa.Umemaliza vibaya.
Waislamu na christians wanashabiiana ktk mengi kuliko Judaism na wayahudi.
Islam's na christians wanamtambua Yesu/ISSA kuwa ndiye MESSIAH.
Wakristo wanaamini katika utatu mtakatifu ilihali Uyahudi na Uislam huchukulia kuwa hiyo ni imani ya kishirikina.
Wayahudi na Waislam hawaamini kuwa Mungu ana mtoto (yesu) au ana mama aitwae (Maria).
Uislam na Ukristo unakubaliana kuwa Yesu ni Masihi aliyezaliwa na mwanamke aitwae Mariam ila hazikubalini kuwa Yesu ni mwana wa Mungu au Mungu. Pia uislam na ukristo haukubaliani juu ya Utatu mtakatifu (Trinity)
Ama tukija katika suala la kuchangamana kijamii (Co-existance) , Wakristo wapo karibu zaidi na Waislam kuliko ilivyo kwa Wayahudi.