Kumbe Hasidic Jews (Wayahudi wenye msimamo mkali) ni watu wa ovyo sana

Kumbe Hasidic Jews (Wayahudi wenye msimamo mkali) ni watu wa ovyo sana

Wakristo huwa wanajizima data.

Wayahudi wote wanawachukulia wakristo kuwa ni WAPAGANI (Polytheists).

Wayahudi hawaamini kuwa Yesu ndiye Masihi wa aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya Wana wa israel.

Wayahudi hawakubaliani na kauli kuwa Yesu ni mwana wa Mungu/Mungu..na humchukulia yeyote anayesema au kuamini maneno hayo kuwa ni Mpagani.

Wayahudi hawaamini katika msalaba, ukombozi kupitia damu ya Yesu,Utatu mtakatifu na vilevile hawali Nguruwe)

Wayahudi kiimani wapo karibu sana na Uislam kuliko ilivyo kwa Ukristo
Uongo.Wayahudi wanashabihiana sana na wakristo wa kisabato KULIKO waislam.Waislam ni wapinga amri za MUNGU,mfano;
*Wanakula najisi(ngamia)
*Wanavunja sabato(jumamosi)
*Wanafanya ibada za wafu(kuwaombea wafu)
*Wana ibada za mwezi(hawafungi au kufungua wasipouona mwezi)
*Wana ibada ya sanamu(kusujudia jiwe jeusi huko makka,na tasbihi)
Kwa hayo machache utaona waislamu ni watoto wa katoliki.Wayahudi wanafanana Kwa ukaribu sana na wakristo wa kweli ambao ni wasabato(watu wa kitabu) kuliko waislamu.
 
MESSIAH;

From Hebrew "Mashiah" , "Anointed"

Judaism, the expected KING of davidic line who will deliver Israel from foreign bondage.

MESSIAH came from this Prophecy;

(Isaiah 9:6-7) which says :In swahili,

Maana Kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto Mwanaume, na Uweza wa kifalme utakuwa begani mwake,

Naye ataitwa Jina lake, MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, MFALME WA AMANI.

7, Maongeo ya enzi yake na Amani, hayatakuwa na mwisho kamwe, katika KITI Cha enzi Cha Daudi, na ufalme wake, kuuthibitisha na kutengeneza HUKUMU na HAKI, tangu sasa na hata Milele.

ISLAM'S na Waliookoka ni ndugu.

Yesu/ ISSA ametambuliwa kama Messiah ktk vitabu vyao.

Messiah Ni mfalme wa WAFALME, Mungu mwenye nguvu, baba wa milele, ufalme wake hauna mwisho. Yesu ni Mungu.

Wayahudi walimsulubisha na sababu alijitambulisha kwao kama Messiah ambaye ni Mfalme wa WAFALME Mungu mwenye nguvu. Bt Islam's wamemtambua kama Messiah.

Messiah Yesu,aliposulubishwa na wayahudi ,aliitoa Roho yake,cakashuka kuzimu, akamnyanganya Shetani funguo za MAUTI na kuzimu na akaihuisha tena ROHO yake ktk mwili siku ya TATU, akapaa Mbinguni na Ameketi mkono wa kuume wa Enzi Mbinguni, na ndiye atakayekuja kuuhukumu Ulimwengu juu ya DHAMBI.

ISLAM'S bila YESU hakuna Ukombozi, mkimwamini ndiye njia ya Kweli na Uzima.

Mungu ni MMOJA, na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
Daah....
Watu wa aina yako ndio mnaoupotosha ukristo.
Muombe Mungu akufunulie uisome Biblia na uielewe.
 
Hivi neno la Kiswahili hasidi lilitokana na hawa jamaa nini? Kuna hawa Wayahudi wenye misimamo mikali sana ya kidini. Wanaamini wao ndiyo wateule na kila mtu duniani yupo kwa ajili ya kuwatumikia wao. Kwa namna fulani naelewa kwa nini Wayahudi walikuwa Persecuted huko Ulaya.

Huwezi kuwa disrespectful namna hii kwa watu. Hawana kabisa uvumilivu wa kidini. Hii video hapa chini inaoonyesha wakiwapita watawa na kutema mate kwa dharau.

Hata hawa waislam wapo hv , na sobibor itajirudia tena hasa huko china watakuja ua hawa wanaotaka kila mtu awe dini yao
 
Ajabu kuna ndugu zako wamezaliwa kyela na Tandale wanaweka bendera za Israel kwenye nyumba za Ibada na magari...
Wanaotumia alqaida , boko haram , alshabab , isis kuiharibu afrika na hao tunawasikia tu , bora yupi ? muwe mnatumia akili kabla kunyooshea wengine vidole
 
Kuna wale wanaowahusudu watasema ni movie
Yaani myahudi hata afanyeje bado watajitoa ufahamu hao
Kwahiyo hawa alshabab, boko haram ,isis , alqaida , adf , janjaweed , seleka wote ni wayaudi ? Hv nyiny wavaa kobaz hamuyaoni ya kwenu ambayo yapo waz kbs ila mnataka kuangaike na yasiyoonekana
 
Mie nawashangaa sana wanaoshobokea wayahudi imani ipo moyoni na sio kwenye kundi fulani la watu
Tanzania hakuna wayaudi , watu wanaunga mkono kama watu wengine dunian sio kwa imani yao , nyiny ndo mnasapoti ugaidi kwa kigezo cha dini
 
Haya mambo ya dini tumeletewa tu, hata ubaguzi wa kule wanakoendaga ndugu zetu KUHIJI ni wa kiwango cha SGR, dada zetu hata wa Imani yao wamenyanyaswa sana na kubaguliwa wakienda huko kufanya kazi, hata Morocco ilipoingia nusu fainali ikadai ushindi wao unawakilisha nchi za kiarabu na sio Afrika. Watu weusi maskini kwa kujua au kutojua huwa wanajipendekeza sana kwa wayahudi na waarabu, wakati wenzao wanawaona kama wanyama pori tu. Ni vile watu wengi hawasafiri sana hivyo wengi hawajui kinachoendelea huko duniani.
Umeenda mbali sana hapo Suda janjaweed waliua mamia kwa mamia kisa ni waafrika weusi bila kujali dini gan , ila hawa ndugu zetu wanataka tuangaike na watu wa mbali sana ambao hata hatuna muingiliano nao sana
 
Wakristo huwa wanajizima data.

Wayahudi wote wanawachukulia wakristo kuwa ni WAPAGANI (Polytheists).

Wayahudi hawaamini kuwa Yesu ndiye Masihi wa aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya Wana wa israel.

Wayahudi hawakubaliani na kauli kuwa Yesu ni mwana wa Mungu/Mungu..na humchukulia yeyote anayesema au kuamini maneno hayo kuwa ni Mpagani.

Wayahudi hawaamini katika msalaba, ukombozi kupitia damu ya Yesu,Utatu mtakatifu na vilevile hawali Nguruwe)

Wayahudi kiimani wapo karibu sana na Uislam kuliko ilivyo kwa Ukristo
Sijawai isapoti israel kwa kigezo cha dini maana sio moja na sisi wakristo ila tuwaulize nyiny kwann mnawakumbatia hao waarab wanaofadhiri ugaidi baran afrika ? Tanzanite inauzwa Saudia Arabia imefikaj kule ? Mali zetu nying zinaibww kiharam hlf zinauzww huko Saudia Arabia , je zimerikaje kule , nini maslai yao kufadhiri ugaidi afrika , ukijibi ndo tuendelee wazungumzia ambao huenda hata hujawai waona
 
Umemaliza vibaya.

Waislamu na christians wanashabiiana ktk mengi kuliko Judaism na wayahudi.

Islam's na christians wanamtambua Yesu/ISSA kuwa ndiye MESSIAH.
Ila waislam wanaunda vikundi kutuua wakristu halaf hapa wanataka waonekane wema kuliko hao wayaudi ambao wanayafanya hayo wakiwa kwao huko
 
Katika imani ya kumpwekesha Mungu (monotheism) , Uyahudi na Uislam upo sawa kabisa.

Wakristo wanaamini katika utatu mtakatifu ilihali Uyahudi na Uislam huchukulia kuwa hiyo ni imani ya kishirikina.

Wayahudi na Waislam hawaamini kuwa Mungu ana mtoto (yesu) au ana mama aitwae (Maria).

Uislam na Ukristo unakubaliana kuwa Yesu ni Masihi aliyezaliwa na mwanamke aitwae Mariam ila hazikubalini kuwa Yesu ni mwana wa Mungu au Mungu. Pia uislam na ukristo haukubaliani juu ya Utatu mtakatifu (Trinity)

Ama tukija katika suala la kuchangamana kijamii (Co-existance) , Wakristo wapo karibu zaidi na Waislam kuliko ilivyo kwa Wayahudi.
Ila waislam wanaunda vikundi kutuua hawa watu wabinafs kama wayaudi tu
 
Tuseme ni Judaism ni dini ya kibaguzi au Wayahudi ni wabaguzi. Kwa yeyote aliyewahi kuishi China au Japan ni kwamba hawamjui Yesu lakini hawabagui Mwafrika kwa dini wala rangi yake. Ukitaka tunda unatafuna Tu. Njoo Uarabuni wewe ngozi nyeusi uombe tunda kama hutanyongwa hadharani.
Sio wachina au wajapan wote hawabagui , kti jamii watu wana mitizamo tofauti sasa huyu mpuuz mleta mada kawatumia hao wachache kuwahukumu mamillion ya wayaudi , hapa Afrika waislamu wengi ni magaidi kivitendo au kiakili ila sio wana hizo element za ugaidi ndani yao , so usitumie kikundo cha watu kuhukumu watu wote , huko china na japan hata india ubaguzi ni mkubwa sana hata kuzidi hapo Israel au kuwaizid wayaudi ila media zao zinaficha hayo matukio hutayaona kweny Tv , ndugu alienda China akatoka nje ya jiji watu hawakutaka salama wala kupokea ela yake wala kuzungumza nae kisa ni mweusi plus alivaa rozali wakamtaka aivue vijana ww huko , pia India alikutana na hali hiyo hiyo
 
Ukweli ni kwamba,Yesu alipokuja duniani,aliwavua uteule Hawa watu. Maana a 2alimkataa. Kuna wale walokole wa isukamahela wanawaabudu sana wayahudi, hawajui kuwa ni taifa lililotemwa zamani na Mungu.
 
Kwahiyo hawa alshabab, boko haram ,isis , alqaida , adf , janjaweed , seleka wote ni wayaudi ? Hv nyiny wavaa kobaz hamuyaoni ya kwenu ambayo yapo waz kbs ila mnataka kuangaike na yasiyoonekana
Nilijua mpo
 
Wakristo huwa wanajizima data.

Wayahudi wote wanawachukulia wakristo kuwa ni WAPAGANI (Polytheists).

Wayahudi hawaamini kuwa Yesu ndiye Masihi wa aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya Wana wa israel.

Wayahudi hawakubaliani na kauli kuwa Yesu ni mwana wa Mungu/Mungu..na humchukulia yeyote anayesema au kuamini maneno hayo kuwa ni Mpagani.

Wayahudi hawaamini katika msalaba, ukombozi kupitia damu ya Yesu,Utatu mtakatifu na vilevile hawali Nguruwe)

Wayahudi kiimani wapo karibu sana na Uislam kuliko ilivyo kwa Ukristo
Kwani kutokuamini kwao kumeanza jana au kabla hata ya bibi wa bibi wa bibi yake Mtume wako Muhammad kuzaliwa?

Christianity inaihitaji existence ya Israel na wale watu sana ni vile hutaki kujifunza
 
Back
Top Bottom