MESSIAH;
From Hebrew "Mashiah" , "Anointed"
Judaism, the expected KING of davidic line who will deliver Israel from foreign bondage.
MESSIAH came from this Prophecy;
(Isaiah 9:6-7) which says :In swahili,
Maana Kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto Mwanaume, na Uweza wa kifalme utakuwa begani mwake,
Naye ataitwa Jina lake, MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, MFALME WA AMANI.
7, Maongeo ya enzi yake na Amani, hayatakuwa na mwisho kamwe, katika KITI Cha enzi Cha Daudi, na ufalme wake, kuuthibitisha na kutengeneza HUKUMU na HAKI, tangu sasa na hata Milele.
ISLAM'S na Waliookoka ni ndugu.
Yesu/ ISSA ametambuliwa kama Messiah ktk vitabu vyao.
Messiah Ni mfalme wa WAFALME, Mungu mwenye nguvu, baba wa milele, ufalme wake hauna mwisho. Yesu ni Mungu.
Wayahudi walimsulubisha na sababu alijitambulisha kwao kama Messiah ambaye ni Mfalme wa WAFALME Mungu mwenye nguvu. Bt Islam's wamemtambua kama Messiah.
Messiah Yesu,aliposulubishwa na wayahudi ,aliitoa Roho yake,cakashuka kuzimu, akamnyanganya Shetani funguo za MAUTI na kuzimu na akaihuisha tena ROHO yake ktk mwili siku ya TATU, akapaa Mbinguni na Ameketi mkono wa kuume wa Enzi Mbinguni, na ndiye atakayekuja kuuhukumu Ulimwengu juu ya DHAMBI.
ISLAM'S bila YESU hakuna Ukombozi, mkimwamini ndiye njia ya Kweli na Uzima.
Mungu ni MMOJA, na YESU ndilo JINA lake.
Amen.