Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Lakini wewe ni mtu mzima mbona unakuwa mpumbavu?Wote wajinga tu hapo.. ukiwauliza wanatokea kabila gani kati ya yale 12 wanabaki wanambwirambwira tu
Isitoshe una degree ya Tumaini university kabisa ila bado mjinga
Uyahudi ulianza lini na ulitokana na nini unafahamu?
Achana na maufala yao wako hivyo siku zote