Baraka wa kwanza
Senior Member
- Mar 22, 2023
- 145
- 127
Mbantu ndiye mama wa ulimwengu wote.
Hata huyo mungu wao lazima apige magoti mbele yetu.
Hata huyo mungu wao lazima apige magoti mbele yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wayahudi tu kila waumini wa Dini waona waumini wa dini nyingine wamepotea.Wakristo huwa wanajizima data.
Wayahudi wote wanawachukulia wakristo kuwa ni WAPAGANI (Polytheists).
Wayahudi hawaamini kuwa Yesu ndiye Masihi wa aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya Wana wa israel.
Wayahudi hawakubaliani na kauli kuwa Yesu ni mwana wa Mungu/Mungu..na humchukulia yeyote anayesema au kuamini maneno hayo kuwa ni Mpagani.
Wayahudi hawaamini katika msalaba, ukombozi kupitia damu ya Yesu,Utatu mtakatifu na vilevile hawali Nguruwe)
Wayahudi kiimani wapo karibu sana na Uislam kuliko ilivyo kwa Ukristo
@FaizaFoxy anawahusudu sana Waarabu!Tuseme ni Judaism ni dini ya kibaguzi au Wayahudi ni wabaguzi. Kwa yeyote aliyewahi kuishi China au Japan ni kwamba hawamjui Yesu lakini hawabagui Mwafrika kwa dini wala rangi yake. Ukitaka tunda unatafuna Tu. Njoo Uarabuni wewe ngozi nyeusi uombe tunda kama hutanyongwa hadharani.