Wakristo huwa wanajizima data.
Wayahudi wote wanawachukulia wakristo kuwa ni WAPAGANI (Polytheists).
Wayahudi hawaamini kuwa Yesu ndiye Masihi wa aliyetumwa na Mungu kwa ajili ya Wana wa israel.
Wayahudi hawakubaliani na kauli kuwa Yesu ni mwana wa Mungu/Mungu..na humchukulia yeyote anayesema au kuamini maneno hayo kuwa ni Mpagani.
Wayahudi hawaamini katika msalaba, ukombozi kupitia damu ya Yesu,Utatu mtakatifu na vilevile hawali Nguruwe)
Wayahudi kiimani wapo karibu sana na Uislam kuliko ilivyo kwa Ukristo