Kumbe hata Ulaya hakuna Uhuru wa kutoa Maoni, Wanaounga mkono Hamas na kuikosoa Israel wanapigwa rungu


Wafelistiin hawakuuza eneo Kwa WAISRAEL,Bali Kwa Ibrahim..na Ibrahim Alinunua eneo baadhi tuh kama shamba afanye makazi na sehemu ya kuzika kizazi chake,even though yakobo aliacha vizazi vyake ila haiondoi ukweli kwamba wafelistiin ndio walikuwa wazawa wa eneo Hilo,na hapo ndipo watu waliposhauri wazo la two states solution, besides hao Jews walikuwa wapi before 1948?
 
Mahmoud Abbas ndiye freedom fighter wa Wapalestina

Hamas Wana majukumu zaidi ya hayo Ndio hata Rafiki zake utawaona akina Taleban, Al.qaida, ISIS, Al shabab nk nk

HAMAS Hana Affiliations na Alqaeda,IsIs au Alshabab,soma vitu uelewe...

Hamas ana affiliation na Hizbollah,Iran,Turkey,Qatar...

Kama vile IDF inavyochukua Silaha kutoka USA,UE na kadhalika...

HAMAS tambua kuwa ana uwakilishi hata wa viti bungeni na taasisi inayotambulika kitaifa na kimataifa.
 
Ndipo ushangae wamekimbia uarabuni wanaenda kuandamana Ulaya [emoji3][emoji3][emoji3] wangepigwa kama Kenya .

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Inaonekana duniani bila Ulaya pasingekuwa sehemu salama kabisa kuishi, kwanini popote pale duniani vita ikitokea tu Wakimbizi wote hukimbilia Ulaya?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sikio la kufa hilo, utapata njaa bure maana kuna vipaji vya ubishi hata penye ukweli = UPUMBAVU

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Taleban wanaongoza serikali kabisa!

Ndio hao hao
 

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wacha uongo. Kabla ya 1948 hakukuwa na nchi inaitwa Israel. Soma historia vizuri uielewe. Eneo lote lile liliitwa Palestine.
Na hiyo baada ya kupewa hifadhi akaanza kuchukua maenwo kwa nguvu akisaidiwa na Waingereza na marekani kijeshi.
Mbona kwenye biblia hakuna neno Palestine Kuna neno Israel

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…