Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Udini ndio chanzo cha hayo yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, hao Wafisiliti waliuza wenyewe eneo Kwa waisraeli (ambao walikuwa watoto wa yakobo). Na eneo alilonunua Ibrahim ndo sehemu alipomzika mke wake na ndugu zake. Hivo waisraeli hapo ni kama kwao tuu. ( Patamu hapa[emoji23]). Ni kama wazaramo kuuza maeneo Kwa wachaga na wakinga harafu wazaramo waanze kulilia eneo walilo uza hapo ndo kimbembe...
Mpalestina kindakindaki toka Kivule nchi ya Wadanganyika [emoji851]Acha usenge mbwa wee
Kuteseka kote huku bado tu Wapalestina na Waisrael huwaona Kenge tu miafrika mnaojipendekeza [emoji2]Achana naye huyo mpumbavu mla mavi
Mahmoud Abbas ndiye freedom fighter wa Wapalestina
Hamas Wana majukumu zaidi ya hayo Ndio hata Rafiki zake utawaona akina Taleban, Al.qaida, ISIS, Al shabab nk nk
Inaonekana duniani bila Ulaya pasingekuwa sehemu salama kabisa kuishi, kwanini popote pale duniani vita ikitokea tu Wakimbizi wote hukimbilia Ulaya?Ndipo ushangae wamekimbia uarabuni wanaenda kuandamana Ulaya [emoji3][emoji3][emoji3] wangepigwa kama Kenya .
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Sikio la kufa hilo, utapata njaa bure maana kuna vipaji vya ubishi hata penye ukweli = UPUMBAVUUnalinganisha vitu tofauti kabisa.
Akina Mkwawa walikuwa wanapambana na Wajerumani waliotoka kwao huko Ujerumani na kuja kuikalia Tanganyika, wakichuma rasilimali na kuzipeleka kwao Ujerumani.
Swali:
Waisrael walitoka kwenye nchi yao ipi wakaenda kuikalia Palestina?
Hivi ikitokea wazazi wako walikuwa wanamiliki ardhi Tarime, ambako ni asili yenu. Lakini katika kutafuta maisha, wakaondoka wakaenda kuishi Dar kwa miaka mingi. Baadaye kiongozi mmoja mhuni akaanza kuwaua wahamiaji wote waliopo Dar, kisha wewe na ndugu zako ili kuokoa maisha yenu mkaamua kurudi kwenu Tarime, mkafika mkaona watu wamegawana maeneo yenu na kuyafanya yao, nanyi kwa hekima mkaamua kuongea nao ili kuyapata maeneo yenu ya asili, na maeneo mengine mpaka mkaamua kuwalipa pesa hao wavamizi. Mkakaa kwa amani. Wakatokea majirani shetani wakaanza kuwachochea hao watu mliowakuta kwenye maeneo yenu, eti wawafukuze ninyi kwa maana hamstahili kuwepo Duniani. Na baadaye majirani hao wakaunda vikundi vya kigaidi ili viawaue ninyi, utafanya nini?
Nimejaribu kuweka kwa lugha nyepesi ili uweze kuelewa.
Mbona Taleban wanaongoza serikali kabisa!HAMAS Hana Affiliations na Alqaeda,IsIs au Alshabab,soma vitu uelewe...
Hamas ana affiliation na Hizbollah,Iran,Turkey,Qatar...
Kama vile IDF inavyochukua Silaha kutoka USA,UE na kadhalika...
HAMAS tambua kuwa ana uwakilishi hata wa viti bungeni na taasisi inayotambulika kitaifa na kimataifa.
Toba! Jiandae kupigwa za uso na Waarabu weusi toka mitaa ya Mpitimbi [emoji1732][emoji38]Ulaya walifanya kosa kubwa sana kuwakaribisha waarabu.
It’s too late now wajiandae kwa mabomu ya kujitoa mhanga
Nchi yao walipewa na nani? Tutakaa kutatua mgogoro huu kwa mlengo wa dini tunatoa lawama kwa mlengo wa dini basi mvamizi atajulikana, ili dunia pawe mahali salama pa kuishi basi watu na wakae pamoja washaurine na wamalize tofauti zao kwa amani. Yaani wewe unau watu maelfu wako wakishambuliwa na kuuliwa inalalamika! Muuaji naye upanga uumpitie hakuna namna
Hakuwahi kukanusha 😂
Ni kwa sababu Hamas ni kikundi cha kigaidi.
Na ugaidi ni uhalifu, ni jinai
Ushahidi ulishawekwa na Mahakama kumuona ana Kesi ya kujubuKwamba angekanusha basi wenye ushahidi wangeuweka?
Ushahidi ulishawekwa na Mahakama kumuona ana Kesi ya kujubu
Kilichobakia ni Yeye Freeman na Watetezi wake Silo na Sabae kupanda kizimbani kwa Utetezi
Ndio Kesi ikatamatishwa!
Mbona kwenye biblia hakuna neno Palestine Kuna neno IsraelWacha uongo. Kabla ya 1948 hakukuwa na nchi inaitwa Israel. Soma historia vizuri uielewe. Eneo lote lile liliitwa Palestine.
Na hiyo baada ya kupewa hifadhi akaanza kuchukua maenwo kwa nguvu akisaidiwa na Waingereza na marekani kijeshi.
Watakwambia Biblia ni stories za vijiweni ilihali dini ya Kikristo ilitangulia kuwepo duniani kwa miaka zaidi ya 600 ndipo dini ya Waislamu ikafatia kupitia Mtume Muhammad [emoji28]Mbona kwenye biblia hakuna neno Palestine Kuna neno Israel
Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Jikite kwenye madaNelson Mandela na kikundi chake cha ANC nao waliitwaga magaidi
Magaidi kwa vigezo vya nani?,
Madai yao yanasema, wamevamiwa.
Ni kama Urusi anavyoivamia Ukraine ndicho anachokifanya Israel