Kuna rule inaitwa financial fair play.Kwann walikiwa wanafanya hivyo sasa?
Daah hii inakuja afu inakata. Ina maana wanakuwa wana fake mauzo kwa kuyaongezea thamani au kwa kuyadogosha?Kuna rule inaitwa financial fair play.
Idea ni kwamba timu itatumia inachoingiza.
Yaani mfano viingilio, manunuzi ya jezi, udhamini, mauzo ya wachezaji n.k. ndiyo vinatakiwa kua chanzo cha kipato watachotumia.
Sasa hii ni kuzuia timu zenye wamiliki wenye pesa wasitoe pesa zao mfukoni na kudhamini vilabu vyao.
Timu kama City ukilinganisha na United au Arsenal au Liverpool haiwezi kuvutia udhamini wa wadhamini wakubwa, haiwezi kuuza jezi nyingi na haiwezi kujaza uwanja. So inabidi waonyeshe wameuza kwa bei kubwa mchezaji na ni uongo, inabidi waonyeshe wamedhaminiwa pesa nyingi na ni uongo.
Wanafanya vyote viwili.Daah hii inakuja afu inakata. Ina maana wanakuwa wana fake mauzo kwa kuyaongezea thamani au kwa kuyadogosha?
Lengo la kufanya hivyo n nn haswaa?Wanafanya vyote viwili.
Mfano wametumia 1M watasema wametumia 300K.
Mfano waliripoti wamemnunua Haaland kwa 60M ila ripoti zinadai walimnunua kwa 250M.
Ili kuonyesha wamepata mapato mengi ndiyo wanaripoti kwamba wamemuuza Savinho 85M, Marmoush 75M n.k. so Spurs inawezekana wametoa 15M hii 70M hawa City wanaijazia wenyewe juu.
Faida gani wanapata?Jipya jingine lililoibuliwa na hii tume ni kwamba wanaingia mkataba na sponsor halafu sponsor analipa sehemu ya kiasi kinachoonekana kwenye mkataba halafu kingine wanalipa wenyewe City.
Yaani mfano wanaingia deal na Azam TV la Bilioni 10, Azam TV wanatoa Milioni 20 halafu Bilioni 9 na Milioni 980 zinalipwa na City wenyewe.
So kwenye vitabu wanaonyesha wamedhaminiwa Bilioni 10 na Azam TV kumbe ni uongo.
Mkuu wewe ni shabiki wa man City? πLengo la kufanya hivyo n nn haswaa?
Oyaa hatariiii shabiki lia liaaa asa sielewi yaani.Mkuu wewe ni shabiki wa man City? π
Pole mkuu.Oyaa hatariiii shabiki lia liaaa asa sielewi yaani.
NAsikia hiyo ijumaa epl wanweza kutushusha daraja au kunyang'anya ubingwa ya kweli hayo?
πππWizi huku mnapigwa uwanjani kila mtu dunia nzima anaona.!? Kwahiyo zile chenga wizi? Yale magoli wizi? πππ
Kazi mnayoHii inssue ni insider job au kina arsenal na man U wameshiriki hujuma
Arsenal Wala hatunashida sisi furaha yetu ni kwamba tumeshinda city pamoja na nbanga zake zote.Muhimu citizens tuna UEFA, na makombe kedekede ya ndani.
Sasa nyie Arsenyeto kuchekelea hivyo ndio kwamba mtabeba UEFA? hambebi, labda mliibe.
Hatushushwi daraja wala nini. Tutawakanda watu kila siku, vipigo ni endelevu.
πππ
Mbebe ligi kwa wachezaji gani? Em acheni fix zenu hapa, watu tunawaona uwanjani wanasakata boli, mseme sijui blah blah,Arsenal Wala hatunashida sisi furaha yetu ni kwamba tumeshinda city pamoja na nbanga zake zote.
Pia hiyo inamaanisha ilipaswa arsenal, liver na Man u kubeba ligi
Walimfikisha mahakamani. Kashinda kesiPole mkuu.
Kwasasa ngumu mtu kukuelezea ukaelwa.
Unajua kama hacker aliyevujisha file lenu kakamatwa na jamaa hana wasisi kwasababu anajua anachokifanya.
Nimeona unasema wewe ni shabiki wa city.Lengo la kufanya hivyo n nn haswaa?
Tatizo mnafanya kusudi kutokuelewa kilichotokea.Mbebe ligi kwa wachezaji gani? Em acheni fix zenu hapa, watu tunawaona uwanjani wanasakata boli, mseme sijui blah blah,
Labda iwe hoja ya kuhonga marefa na team pinzani, ila sio hizo mnazosema hapa, ni uongo.
MKuu chezea wabongoTatizo mnafanya kusudi kutokuelewa kilichotokea.
Ni kweli city walikuwa wanacheza vizuri
Lakini walikiuka sharti la ligi
Hakuna kutumia booster
Yaani uende round zote bila ya mkongo, Viagra na mazaga mengine.
Walikuwa wanasjili wachezaji wazuri (gharama) wengi kutosha kupambana round zote bila kuchoka na wachezaji wenye ED walikuwa wapo waakiba na supply ya booster kama Viagra ilikuwa uhakika.