GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
25,522
Reaction score
40,795
Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.

Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
 
Ndio maana takwimu zao zimepishana na idadi ya sensa ya 2022,inaonekana NEC walichota orodha kutoka NIDA bila kuhariri kwa kuondoa watu waliokwisha kufa yaani idadi ya NEC imekuwa kubwa kuliko SENSA
Jukumu la kuondoa waliopoteza sifa za kupiga kura(mfano waliofariki n.k) ni la jamii husika kuanzisha michakato huo wa kuomba kufuta, Sasa kama jamii haitaanzisha mchakato iNEC hawawezi kurupuka tu wakafuta taarifa
 
Kwa kweli nilishangaa Sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba NEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya ya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.


Ninaiomba Time ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Nimeelewa kwa nini Kailima aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani kapelekwa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi

NIDA wapo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani alafu Kailima ndo alikuwa akiisimamia. Saivi yupo tena Tume ya Uchaguzi.

Nchi hii kuna wapuuzi wachache wameshatuona Wananchi wote hamnazo.
 
Kwa kweli nilishangaa Sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba NEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya ya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.


Ninaiomba Time ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Wahuni wenzake Polepole huko mitandaoni wametoka hivi....! Kama nashawishika vileee..
 

Attachments

  • IMG-20250821-WA0012.jpg
    IMG-20250821-WA0012.jpg
    561.5 KB · Views: 42
  • IMG-20250821-WA0028.jpg
    IMG-20250821-WA0028.jpg
    519.9 KB · Views: 35
Back
Top Bottom