GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.

Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Sio kuchukua tu bali na kuunganisha na Database za Lumumbq
 
Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.

Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Hawa wahuni unaweza kuta wameniweka kama mpiga kura wakati sijajiandikisha.
 
Kwa Nini mkuu. Kwangu linashangaza maana hata watu wakigoma kwenda kupiga kura mfumo utawapigisha kura kwa lazima.
kwa sababu chama dola,chama na serikali
Taasisi zote zote ziko chini ya ccm ,hao INEC mkurugenzi anateuliwa na nani ?

Ova
 
Ndio maana unaweza ukawa upo nyumbani...siku hiyo ila ukapigishwa kura bila kujua...
Wanachukua tuu taarifa zako za NIDA wanajaza kwenye karatasi ya kupigia kura...
Ndio maana Kuna wakala mmoja kwenye kituo alisema wamekuja wapiga kura 428 tu ...anashangaa mkuu wa kituo anatoka na majina 702 yawaliojitokeza...
Kumbe wanachukua taarifa za NIDA kwa watu na kujaza ...hivyo kutengeneza kura feki
 
Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.

Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
BAO LA MKONO.🫵
 
Nimeeleza mara kadhaa humu kuwa ni utaahira mkubwa sana kwenda kupiga kura kwani tayari matokeo ya kinachoitwa uchaguzi yako kwenye servers za INEC, nilistuka sana na ile idadi ya wapiga kura m37 kumbe wamechota toka NIDA.
 
Ndio maana wamechukua hadi majina ya wafu wameweka mle, unawachukua akina Mwashamba wakusaidie ujinga??
 
Wakaweka hadi Wafu ila MUNGU fundi sana kawaumbua mapema
 
Ndio maana wamechukua hadi majina ya wafu wameweka mle, unawachukua akina Mwashamba wakusaidie ujinga??
Kuna ubaya gani wakichota taarifa toka NIDA hata ikiwezekana wachote taarifa NECTA tuone na matokeo yako ya form 4 ulivyozungusha ZIRO
 
Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.

Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Kabisa, maana idadi ya watu iliyoonekana kwenye vituo vya kura haijashabihiana kabisa na idadi ya iNEC. Polepole amesema ukweli huu maana ndio walichofanya uchaguzi wa 2020 alipokuwa na Magufuli
 
Kashaomba Msamaha tayari
 
Jukumu la kuondoa waliopoteza sifa za kupiga kura(mfano waliofariki n.k) ni la jamii husika kuanzisha michakato huo wa kuomba kufuta, Sasa kama jamii haitaanzisha mchakato iNEC hawawezi kurupuka tu wakafuta taarifa
Mifumo inatakiwa isomane RITA,NIDA.NEC
 
Back
Top Bottom