SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Hapa tunapanga na Baraza la MawaziriWewe ni mpumbavu na ukiendelea kujibu ujinga nakuweka kwa ignore list
Hapa tunapanga na Baraza la MawaziriWewe ni mpumbavu na ukiendelea kujibu ujinga nakuweka kwa ignore list
Ndio maana yake.Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Sema, "Ninailekeza tume".Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Wahuni ndio wanaendesha mchezo, tokea huko ccmAsa tume inayoongozwa na majaji kabisa wanashindwa hata kuandikisha wapiga kura jamani hadi wachukue ya nida??? This is shame!!
Da... kumbe! Walikuja kwangu sijui na makaratasi gani, baada ya kutokuepo home, wakaomba nida yangu na zoezi likaisha.Wewe unadhani ni kwanini mabalozi wa nyumba kumi walikuwa wanaorodhesha namba za NIDA za raia.
Mkiambiwa NrNe mueleweBasi kama ni hivyo huu ni ushenzi yanini kusumbuana na kupotezeana muda
Kapigeni kuraKuhalalisha goli la mkono...
NRNEKapigeni kura
Hii ni dhambi kubwa mno - imeniuma saana.Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Huyu faza ni hatari snPhilosophical thoughts by Bishop Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani?
Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele. Tutafakari:
1. Kuna watu usipowasikiliza, ni hasara. Ukiwasikiliza ni hasara pia. Humphrey Polepole ni mmoja wao. Usipomsikiliza unakosa mengi. Ukimsikiliza, anakushawishi kutenguka katika basdhi ya misimamo yako. Chagua kwa hekima.
2. Nani ni bora? Shetani aletaye habari njema au malaika aletaye habari mbaya?
Tuangalie kwa makini vipa umbele vyetu:
-Mungu/Taifa/Chama
Vs
-Chama/Taifa/Mungu
Chagua kwa hekima.
3. Twaweza kumpuuza Humphrey Polepole. Je tutapuuza madhara ya kumpuuza? Chagua kwa busara kati ya kupuuza huku usiweze kupuuza madhara ya upuuzi wako.
Kama anasema uwongo anamdanganya nani? Mungu? Wananchi? Yeye mwenyewe?
4. Kama ni kweli tufanyeje? Kama ni uwongo tufanyeje? Kwa nini aliyoyasema yanafanana na imani na uzoefu wetu? Kwa nini wanaosema aliyoyasema ni uwongo hata wao wanajiona ni waongo?
5. Viapo vyetu viko njiapanda: kukiuka kiapo kwa kusema kweli au kutunza kiapo kwa kuficha ukweli? Tunapoapa twamwapia mwanadamu au Mungu? Tukishupaza shingo (Impunity), twamfanyia Polepole, Katiba, Katiba, wananchi?
6. Hatujui tumefikaje hapa. Tuna uwezo wa kujua tutokeje. Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reform?
Tupige kura kuamua kama tuchague au tusichague?
Unyenyekevu si udhaifu
TURUDI MEZANI
UKWELI ULIOCHELEWA NI BORA KULIKO UWONGO UNAOFARIJI.
HAKUNA TOBA ILIYOCHELEWA
kinapatikana wapi hiko kitabuKasome kitabu kilichoandikwa na Kabendera. Kaandika kwa uwazi kabisa kuwa Ben Sa8 alipigwa risasi na Magufuli (tena kwa mkono wake)
Muacheni Polepole aendelee kuikomboa nchi
Chanzo Cha huo ugonjwa wa ukiki,je unaambukizwa na mbu?Na tiba yake ni Nini(UKIKI)?!Wahuni wenzake Polepole huko mitandaoni wametoka hivi....! Kama nashawishika vileee..
Hauko serious kamarah . Sasa jukumu la kuhakiki ni la nani kama sio INEC. ?Jukumu la kuondoa waliopoteza sifa za kupiga kura(mfano waliofariki n.k) ni la jamii husika kuanzisha michakato huo wa kuomba kufuta, Sasa kama jamii haitaanzisha mchakato iNEC hawawezi kurupuka tu wakafuta taarifa
Hao wenye akili za OktobaTUNATIKI kama wewe hawakosekani ni kama mfugaji anaweza kufuga mbuzi lakini pia akafuga nguruwe.Vijana hawa hawa wanaobet na kuendeleza mapenzi kinyume?
Kama ni kweli tulisema humu ki 'demografia' haiwezekani population ya watu 62m itoe wapiga kura 37m.Na jamaa kwa ujinga ujinga ( siyo ujanja ujanja) walienda mbele zaidi kwamba server isiwe accesible na yeyote isipokuwa wao.Na ili kuhalalisha hata wakitokea wasiorodhika na matokea hakuna kuhoji mahakamani.Aiseee......eee Mungu wetu tupiganie.Ni wewe tu unayewez.Hawa jamaa wana kila kitu cha hapa duniani isipokuwa roho.Tupiganie Taifa lako.Walikosea Sana. Inabidi warekebishe hiyo kasoro la sivyo uchaguzi utakosa uhalali.