SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
HakikaMifumo inatakiwa isomane RITA,NIDA.NEC
HakikaMifumo inatakiwa isomane RITA,NIDA.NEC
Tatizo lipo wapi?Nilishangaa kuona jina la babu yangu eti amejiandikisha afu ni active wkt kashafariki kitambo dadek
Sasa kuhakiki daftari la kudumu huwa na kazi gani kama hawawezi verify taarifa za wapiga kura activeJukumu la kuondoa waliopoteza sifa za kupiga kura(mfano waliofariki n.k) ni la jamii husika kuanzisha michakato huo wa kuomba kufuta, Sasa kama jamii haitaanzisha mchakato iNEC hawawezi kurupuka tu wakafuta taarifa
Siku zote huwa nasema mtu,mwenye akili timamu na kujielewa hawezi kwenda kukaa foleni na kupiga kuraNimeeleza mara kadhaa humu kuwa ni utaahira mkubwa sana kwenda kupiga kura kwani tayari matokeo ya kinachoitwa uchaguzi yako kwenye servers za INEC, nilistuka sana na ile idadi ya wapiga kura m37 kumbe wamechota toka NIDA.
Tuliza wengeSasa kuhakiki daftari la kudumu huwa na kazi gani kama hawawezi verify taarifa za wapiga kura active
Waislam hawakusoma , waliosoma mambo mbona hivyo hivyo tena?Hujaelewa nini ndg. Ni kwamba Tume inafuata maelekezo ya nini wafanye ili kuhakikisha CCM inashinda Uchaguzi Hakuna Cha professionalism hapo
Akili zako zimejaa mavi. Umeshajiuliza RITA wanakazi? Umegundua kama Lissu ni akili kubwa anavyotaka kuwepo na ofisi Tume huru ya Uchaguzi mpaka chini huku? Jiulize umebeba kichwa ndani kuna nini?Jukumu la kuondoa waliopoteza sifa za kupiga kura(mfano waliofariki n.k) ni la jamii husika kuanzisha michakato huo wa kuomba kufuta, Sasa kama jamii haitaanzisha mchakato iNEC hawawezi kurupuka tu wakafuta taarifa
Lisu ananyongwa lini?Akili zako zimejaa mavi. Umeshajiuliza RITA wanakazi? Umegundua kama Lissu ni akili kubwa anavyotaka kuwepo na ofisi Tume huru ya Uchaguzi mpaka chini huku? Jiulize umebeba kichwa ndani kuna nini?
Ndani Kuna mavi ya kuku anayeumwa ugonjwa wa kideriAkili zako zimejaa mavi. Umeshajiuliza RITA wanakazi? Umegundua kama Lissu ni akili kubwa anavyotaka kuwepo na ofisi Tume huru ya Uchaguzi mpaka chini huku? Jiulize umebeba kichwa ndani kuna nini?
Hii nchi inaelekea kulazimisha vijana kama Traoure wajitokeze na kufanya yao maana kuna "wahuni" wanafanya dharau watakavyo na bila hofu wala aibu.Kwa kweli INEC wasiporekebisha hili wataleta shida kubwa Sana.
Vijana hawa hawa wanaobet na kuendeleza mapenzi kinyume?Hii nchi inaelekea kulazimisha vijana kama Traoure wajitokeze na kufanya yao maana kuna "wahuni" wanafanya dharau watakavyo na bila hofu wala aibu.
Shauri zao, hao vijana hawaoni shida kuwachapa shaba mafisadi na majizi yanayojiona yana kinga za kutoshtakiwa. Mfano hili la kuchezea mifumo ya uchaguzi NI DHARAU KUBWA SANA KWA TAIFA.
Wahusika ndio walipaswa kushtakiwa kwa uhaini na kunyongwa hadharani.
Nadhani Mkunda na vijana wake wanajisahau kuwa tunawapa heshima kubwa na upendo kwa ajili ya kutulinda sisi, uhuru wetu na rasilimali zetu lakini wameanza kujisahau na kuwalinda wezi
We Kura yako ina nini?Kumbe kura yangu ishapigwa
Hii akili yako haifai hata kutumika kupengea kamasi. Nini hiki umeandika?Jukumu la kuondoa waliopoteza sifa za kupiga kura(mfano waliofariki n.k) ni la jamii husika kuanzisha michakato huo wa kuomba kufuta, Sasa kama jamii haitaanzisha mchakato iNEC hawawezi kurupuka tu wakafuta taarifa
Nec wapo mbele ya muda. Mimi nawapongeza kwa kuwa na akili ya kuwaza mbaliKwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
SafiiNec wapo mbele ya muda. Mimi nawapongeza kwa kuwa na akili ya kuwaza mbali
Wewe ni mpumbavu na ukiendelea kujibu ujinga nakuweka kwa ignore listKuna ubaya gani wakichota taarifa toka NIDA hata ikiwezekana wachote taarifa NECTA tuone na matokeo yako ya form 4 ulivyozungusha ZIRO