Jukumu la kuondoa waliopoteza sifa za kupiga kura(mfano waliofariki n.k) ni la jamii husika kuanzisha michakato huo wa kuomba kufuta, Sasa kama jamii haitaanzisha mchakato iNEC hawawezi kurupuka tu wakafuta taarifaNdio maana takwimu zao zimepishana na idadi ya sensa ya 2022,inaonekana NEC walichota orodha kutoka NIDA bila kuhariri kwa kuondoa watu waliokwisha kufa yaani idadi ya NEC imekuwa kubwa kuliko SENSA
fekeroHata Chauma unaweza kuambiwa wamepata kura mil 7.5 hivyo kustahili viti maalumu bungeni, na hata kumegewa majimbo. Nchi ngumu sana hii
Umeelewa mada inayojadiliwa au unakulupuka tuJukumu la kuondoa waliopoteza sifa za kupiga kura(mfano waliofariki n.k) ni la jamii husika kuanzisha michakato huo wa kuomba kufuta, Sasa kama jamii haitaanzisha mchakato iNEC hawawezi kurupuka tu wakafuta taarifa
Nimeelewa kwa nini Kailima aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani kapelekwa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya UchaguziKwa kweli nilishangaa Sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba NEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya ya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ninaiomba Time ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Wahuni wenzake Polepole huko mitandaoni wametoka hivi....! Kama nashawishika vileee..Kwa kweli nilishangaa Sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba NEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya ya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ninaiomba Time ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Kasome kitabu kilichoandikwa na Kabendera. Kaandika kwa uwazi kabisa kuwa Ben Sa8 alipigwa risasi na Magufuli (tena kwa mkono wake)Wahuni wenzake Polepole huko mitandaoni wametoka hivi....! Kama nashawishika vileee..
Sawa asante! Sikuwa najua kama hivyo ...ngoja Polepole aje atueleze.Kasome kitabu kilichoandikwa na Kabendera. Kaandika kwa uwazi kabisa kuwa Ben Sa8 alipigwa risasi na Magufuli (tena kwa mkono wake)
Muacheni Polepole aendelee kuikomboa nchi
Kanunue kitabu cha Erick Kabendera, acha ubahiliSawa asante! Sikuwa najua kama hivyo ...ngoja Polepole aje atueleze.
Haaah...sawa ndugu.Kanunue kitabu cha Erick Kabendera, acha ubahili
Hujaelewa nini ndg. Ni kwamba Tume inafuata maelekezo ya nini wafanye ili kuhakikisha CCM inashinda Uchaguzi Hakuna Cha professionalism hapoAsa tume inayoongozwa na majaji kabisa wanashindwa hata kuandikisha wapiga kura jamani hadi wachukue ya nida??? This is shame!!