Kumbe Juma Jux kimaisha kamzidi Diamond Platnumz?

Me hua naishia kucheka tu, mtu anasema diamond hajui kuimba ukimwambia yye aimbe sijui itakuaje, Diamond anapenda sifa !! Ukijiuliza kwani kwenye usanii hakuna kujigamba(majigambo).

Inshort hawaelewi Sanaa na Usanii, kingine ni chuki.
Ukweli moyoni wanaujua ila utawafanyaje wakati wao wenyewe wameamua kwa makusudi kumchukia.
 
Huyu dogo kaanza kupambana mda sana kunikipindi alikuwa ataka kuniuzia silaha yeye na mwenzake shetta ni vizuri kuona wamefanikiwa kwa namna yoyote. Wasiwasi wangu ni kwenye kutoa maelezo ya sources za hizo mali.
 
Sasa hii mbona ni nyumba ya kawaida!
Na BMW hizi,zakawaida sana,
Mi nilitegemea Kuna vogue hapo,harafu huyu ametoa ajira kiasi gani,analipa Kodi kiasi gani,PAYE kiasi gani?
Mie shughuri zangu ni kilimo,na ninamiriki mjengo zaidi ya huu,
Na nje nimepaki V8,na cruizer mkonga!
 
Kupakatwa kungekuwa kunalipa hivi mashoga yote town tungeyaona..
Ndio uelewe sio wote wanapata hio bahati

Hata wanawake kuna wanaojengewa na wengi pamoja na sura zao kali wanaishia kudanga tu.

Sijui background ya huyo dogo ila kama ni mziki pekee basi hizo mali hamiliki 100% labda kama kuna shareholders wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…