Kumbe Juma Jux kimaisha kamzidi Diamond Platnumz?

Jux bado anapewa hela ya kununua boxer (chupi) na wazazi wake, bado sana huyo...
 
Unavyotetea...Hv anakupaga nn??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona una hama hama mada, Mimi sijaongelea habari za media wala Tcra, rejea coment zangu, mi nipo kwenye mandinga na mijumba na kutoa misaada kwa watu jamaa ni muongo sana kwenye nyanja hizo


Ila sikushangai uwa unatafuta kakicha kakujificha, Swala la umiliki wa wasafi linajulikana na hizo mada tulishamalizana nazo sa sijui kwanin wew umelikomalia hilo
 
Sasa hayo mandinga na magari si ananunua kupitia faida ya hisa zake ,bado show, deals mauzo huko digital platforms.

Wewe hata ukibisha, ubishi wako haumzuii Sadala kumiliki nyumba na magari cha msingi endelea kubisha huku Sadala anaingiza mpunga.
 
Ukiona unaombwa uthibitisho wa kitu jua watu hawakuamini yani unaishi kiuongo uongo ndo maana unakua uhaminiki,.

Jux hajaombwa hivyo kwa sababu anaishi maisha yake harisi si ya uongo uongo

Tulieni dawa iwaingie
Not neccessarily.. Wakati mwingine upenzi hupelekea mtu kuomba au kutokuomba ushahidi... Na wakati mwingine imani yako ndo au kukosa kwako taarifa hukufanya uone kila kitu ni uongo
 
Mbona hii nyumba kapanga yeye na Kamikaze πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…