EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Weka nyumba yako na gari zako hapa[emoji41]Sasa hii mbona ni nyumba ya kawaida!
Na BMW hizi,zakawaida sana,
Mi nilitegemea Kuna vogue hapo,harafu huyu ametoa ajira kiasi gani,analipa Kodi kiasi gani,PAYE kiasi gani?
Mie shughuri zangu ni kilimo,na ninamiriki mjengo zaidi ya huu,
Na nje nimepaki V8,na cruizer mkonga!
Sawa.Kwa sababu hajawai kuuongopea uma na hana shutuma za uongo uongo naamini kua mali ni zake,.
Ila kwa Sadala ni lazima wakimwengu waombe uthibitisho, yero masai ni muongo muongo sana mzee wa kik
Kweli ni kazi ye kaiweza.Hata kupakatwa ni kazi, jaribu uone
Kwa sababu nawapakataga[emoji16]Kweli ni kazi ye kaiweza.
Umejuaje kama ni kazi mkuu??? au...........................
Vipi kuhusu plate number unazo mkuu tuzi run? Tujue mbivu na mbichi?Jamaa ana 7 series yake imechoka kishenzi.
Maisha ya kwny mitandao ni shida Sana.
Una miriki mjengo?Sasa hii mbona ni nyumba ya kawaida!
Na BMW hizi,zakawaida sana,
Mi nilitegemea Kuna vogue hapo,harafu huyu ametoa ajira kiasi gani,analipa Kodi kiasi gani,PAYE kiasi gani?
Mie shughuri zangu ni kilimo,na ninamiriki mjengo zaidi ya huu,
Na nje nimepaki V8,na cruizer mkonga!
Fake it until you make it.Wasanii MIJENGO yao wanajengea Instagram na Facebook ukija mitaani hauyaoni hayo MAJENGO YAO.
Ni STK 000.Vipi kuhusu plate number unazo mkuu tuzi run? Tujue mbivu na mbichi?
Hivi wewe unamjua Diamond au unamsikia kwenye simu ya torch?View attachment 1834572
Juma Jux kwenye ukurasa wake wa instagram katupia picha ya mjengo wake pamoja na ndinga zake ikiwemo Mercedes Benz mpya na bmw.
Kwa mtizamo wangu naona jux ana maisha mazuri kuliko msanii yeyote Bongo akiwemo mondi na kiba. Mondi anatumia toyota na kiba anatumia x5 la kizamani.
View attachment 1834573
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km unaumia ivHuyo Jux hamjaomba hati angekuwa Diamond mngeomba aweke hati ya nyumba na kadi ya gari.TCRA wenyewe wanakwambia Diamond Wasafi Media ana miliki 45%,watu bado wanabisha. Kanunua Cadilac ya kwanza mkasema ya Yusuph Bakheresa kamuuzia, wakati Yusuph ana miliki garage ya kupimp magari, kanunua Cadilac ya pili mnaponda Uber Marekani.
Sometimes inabidi tufanye bother Sadala hana kitu ili kuwarizisha haters ila ukweli mioyoni mnaujua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaahUkiona unaombwa uthibitisho wa kitu jua watu hawakuamini yani unaishi kiuongo uongo ndo maana unakua uhaminiki,.
Jux hajaombwa hivyo kwa sababu anaishi maisha yake harisi si ya uongo uongo
Tulieni dawa iwaingie
Umepima vp kama nimeumia ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km unaumia iv
Wapo mbona tatizo siri, ndo maana hawa jiproud [emoji23][emoji23][emoji23]Kupakatwa kungekuwa kunalipa hivi mashoga yote town tungeyaona..
[emoji23][emoji23][emoji23]Domo mwongo Sana [emoji23][emoji23][emoji23]haaminiki ndomana hata baba yke hajulikani[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasanii MIJENGO yao wanajengea Instagram na Facebook ukija mitaani hauyaoni hayo MAJENGO YAO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee kuna kipindi kuna jamaa humu alisema alikuwa anaileta car wash ilikuwa inagonga chini kelele za kila aina [emoji1787]