Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.

Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Mambo tunayowazidi Kenya ni kushabikia machawa na chawa ndiyo watu muhimu kibiashara kwani ndiyo hupewa endorsements nyingi, pia tunawazidi kujifanya wajuaji ilhali ni mbumbumbu katika nyanja zote za taaluma na kuwa bootlickers wa viongozi wa chama na serikali.
 
Nilichogundua Kenya viongozi wao washakua waoga wanajua wakiboronga WANANCHI hawakawii kuvamia ikulu
 
Umeona sasa ulivyo msenge kwahyo MTU akiandika kitu cha tofauti na mawazo ya kijani ni chadema, wengne hatuna vyama
We kila mtanzania ameshakugundua mbwa koko achana na nchi yetu, Tanzania is a great nation haina wapumbavu km ww. Halafu kubali yaishe acha ubishi.
 
Back
Top Bottom