Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 1,014
- 816
Hayo ni majinga mkuu,na ndio yanafanya nchi inakuwa hiv hadi leiUmeona sasa ulivyo msenge kwahyo MTU akiandika kitu cha tofauti na mawazo ya kijani ni chadema, wengne hatuna vyama
Hayo ni majinga mkuu,na ndio yanafanya nchi inakuwa hiv hadi leiUmeona sasa ulivyo msenge kwahyo MTU akiandika kitu cha tofauti na mawazo ya kijani ni chadema, wengne hatuna vyama
ManyumbuNa hili ndio dawa,haya yote ni katiba ikisimama,sasa ww nchi ina katiba ya mwaka 1961,leo karne ya 21 bado wanangangania hiyo hiyo,,kwa kifupi watanzania sisi ni wapumbavu mno,nikiwemo na mm
Acha uongo.
Kasarani ni mdogo kulinganisha na mkapa na unachukua watu 48000 pekee
Dar es salaam Kuna Benjamin mkapa 62000
Uhuru stadium 30,000
KMC stadium 15000
Bado Kuna Zanzibar 15000
Kuna ule wa pemba 15000
Bado tunajenga vingine Arusha na Dodomq
Ni official. Wew ndo utafute taarifa sahii.Kwa wewe neno ukubwa umechukulia idadi ya mashabiki pekee uwanja unaoweza kubeba?
Hujawaza vitu vingine kama hadhi, eneo la mraba n.k?
By the way Moi Kasarani inabeba watu 55,000 na Mkapa watu 60,000...
Hizo figure ulizoweka wewe sio official...