gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Mwinyi, sokoine,kirumba ni vya sasa?!.. kasarani si imefanyiwa marekebisho,caf waliufungia juzi tu!?Hivi ni vya sasa ndugu yangu ukweli lazima tukubali, kasarani inaumri lakini ubora upo pale pale. Hapo kirumba au alhasan mwinyi Tabora au Mandela sumbawanga au sokoine Mbeya kuna nini cha ajabu? Unapokiweka Azama unakosea ni cha mtu. Angalia mkwakwani juzi yanga walipo cheza nini kilitokea? Na ulifungwa na kugharimu mamia ya shilingi kuukarqbati? Tuseme ukweli kuna mahala tunapakosea,tupunguze ubinafsi tuweke maslai ya Nchi mbele tutasonga.