Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Unajiumiza kwa vitu havina maana kabisaLu
Acha kujikaza wametuzidi ndio maana fainali inapigwa huko
Unajiumiza kwa vitu havina maana kabisaLu
Acha kujikaza wametuzidi ndio maana fainali inapigwa huko
Kenya huijui ,acha kufuata mkumbo ...Lu
Acha kujikaza wametuzidi ndio maana fainali inapigwa huko
Wamevuta shisha hao achana naoKenya hawana maajabu ,kiwanja cha kawaida sana ..Mnapenda sana kujifananisha ,mtakuja tena eti wanahamasa ya kushangalia ...Vijana mnasumbua sana na roho za kujifananisha.
Hamia KenyaKenya wametuzidi mambo mengi sana yani ni aibu nchi kubwa kama Tanganyika tunakiwanja bora kimoja tu
Kenya wako mbele kila kitu mjukuu
Long time before tulinunua sabuni,mafuta na vitu kibao kutoka Kenya.
Hata vifungashio tunapata Kenya
Even mount Kilimanjaro wameupora mzee
Wanawake wa Kenya wako kama wacheza mieleka. Pisi ni mbovu sijapata kuonaKwa hiyo hata nyinyi wanawake Watanzania mmezidiwa urembo na wanawake wa Kikenya?
Uzuri wa Tanzania makampuni makubwa ya food processing yanayofanya vizuri Afrika Mashariki na Kati yanamilikiwa na WatanzaniaKenya wako mbele kila kitu mjukuu
Long time before tulinunua sabuni,mafuta na vitu kibao kutoka Kenya.
Hata vifungashio tunapata Kenya
Even mount Kilimanjaro wameupora mzee
Siyo Nairobi pekee.
Kenya ni Nairobi na Nairobi ni Kenya.
Hakuna kiwanja cha maana nje ya Nairobi.
Na hivyo viwaja 3, vilivyojengwa ni vipya na maboresho kwaajili ya CHAN na AFCON.
Huo Nyayo upo vizuri Sana pitch yake
Hivyo nilivyo taja ni vibovuHata vyote vingekua Wilaya moja, Mimi nmeulizia uzuri WA VIWANJA, ishu si vipo Kenya?? Ndio swali langu
Akili ipi wanayo Kenya?Hao jamaa wapo mbele yetu kwa mengi, ila kubwa walilotuzidi ni AKILI.
Wakati sisi tunaongozwa na "god-knows-who", wao wanaongozwa na mtu anajielewa!!
Hujawahi ona mechi za caf zikichezwa azam complex?hivyo vya nyasi bandia ulivyovitaja hapo viko viwango vya CAF?
We umejuaje siijui au unaleta hisia zako unajua nipo wapi . Kubalini mnaposhindwaKenya huijui ,acha kufuata mkumbo ...