Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Hakuna maajabu ,wala hakuna cha kushangaza hapoWe umejuaje siijui au unaleta hisia zako unajua nipo wapi . Kubalini mnaposhindwa
.Nimekaa sana Nairobi
Hakuna maajabu ,wala hakuna cha kushangaza hapoWe umejuaje siijui au unaleta hisia zako unajua nipo wapi . Kubalini mnaposhindwa
Kwahyo Azam complex serikali imesaidia nini pale mpaka ukawa na uwanja?? Had viwanja binafsi vya club unahesabu ili tuu kutetea ujinga, KAMA UNALIPWA SAWA LAKINI KAMA UNAFANYA KUJIFURAHISHA HII NI VICHEKESHOHujawahi ona mechi za caf zikichezwa azam complex?
UK ina viwanja vingi vizuri, lakini siyo vya serikali,ni vya arsenal,spurs,city,west ham,nchi ikiwa na viwanda vingi,utaisifu bila kujali viwanda ni vya serikali au laaKwahyo Azam complex serikali imesaidia nini pale mpaka ukawa na uwanja?? Had viwanja binafsi vya club unahesabu ili tuu kutetea ujinga, KAMA UNALIPWA SAWA LAKINI KAMA UNAFANYA KUJIFURAHISHA HII NI VICHEKESHO
Kenya Wana viwanja gani vya maana?..kazi kusifia vya watu tu,mkapa,uhuru,azam ,kmc,kirumba,mwinyi,kambarage,sokoine,isamuyo, estatesWalianza siku nyingi sana kuwekeza, sisi tulikuwa tunawekeza kwa maneno wao kwa vitendo.
Hii mkapa na yenyewe si ilikua jaruba, hadi caf wakahairisha mechi ya fainali ya simbaKenya viwanja viwili,moi kasarani na nyayo,ambavyo juzi tu vilikua majaruba ya mpunga hadi chan kusogezwa agosti badala ya February
Tanzania ina mkapa,amaan,azam complex,kmc
Wabongo wengi vichwa naziKenya huijui ,acha kufuata mkumbo ...
Ñaona unataja Hadi majarubaKenya Wana viwanja gani vya maana?..kazi kusifia vya watu tu,mkapa,uhuru,azam ,kmc,kirumba,mwinyi,kambarage,sokoine,isamuyo, estates
Mpira wao haukushuka. walifungiwa na FIFA kujihusisha na mpira wa miguu kwa miaka ya kutosha kutokana na uingiliaji wa Serikali kwenye masuala ya mpira wa miguu.Sikujua, kumbe Mpira wao ulishuka lakini viwanja wanavyo vya viwango
Hivi ni vya sasa ndugu yangu ukweli lazima tukubali, kasarani inaumri lakini ubora upo pale pale. Hapo kirumba au alhasan mwinyi Tabora au Mandela sumbawanga au sokoine Mbeya kuna nini cha ajabu? Unapokiweka Azama unakosea ni cha mtu. Angalia mkwakwani juzi yanga walipo cheza nini kilitokea? Na ulifungwa na kugharimu mamia ya shilingi kuukarqbati? Tuseme ukweli kuna mahala tunapakosea,tupunguze ubinafsi tuweke maslai ya Nchi mbele tutasonga.Kenya Wana viwanja gani vya maana?..kazi kusifia vya watu tu,mkapa,uhuru,azam ,kmc,kirumba,mwinyi,kambarage,sokoine,isamuyo, estates
Nyinyi mafisadi hamuwezi fanya chochote cha maanaKenya hawana maajabu ,kiwanja cha kawaida sana ..Mnapenda sana kujifananisha ,mtakuja tena eti wanahamasa ya kushangalia ...Vijana mnasumbua sana na roho za kujifananisha.
Nitajie viwanja vitatu vya mpira vinavyomilikiwa na serikali pale uingereza!Kwahyo Azam complex serikali imesaidia nini pale mpaka ukawa na uwanja?? Had viwanja binafsi vya club unahesabu ili tuu kutetea ujinga, KAMA UNALIPWA SAWA LAKINI KAMA UNAFANYA KUJIFURAHISHA HII NI VICHEKESHO
Kama nchi ndio tunakoelekea Tsh. Mambo kwa ground ni magumu na mitaji ya kufukuzia fursa wengi hatuna. Usishangae uchawa na siasa vinakua juu ya ujasiriamali. Ni suala la muda tu, kizazi kijacho hakitaikuta hii ardhi tunayoiringia na hatuitumiiHamna kitu wala wasikutishe hao, nenda Nairobi ujionee.
Pamoja na mashida yetu ya ufisadi n.k bado Tanzania ni best kulinganisha na hao wa Kenya.
Watembelee ukae huko kidogo uone vijana wanavyoshindia mayai ya kuchemsha.
Tz fursa bado tunazo, ukipambana fedha ipo, hata mali kama ardhi na nyumba unamiliki tena km kadhaa tu kutoka jiji kuu la biashara.
Nimelinganisha Kenya na Tanzania wewe unanipeleka uingereza, JIKITE HAPO KENYA VS TZ, au kusoma changamoto mzeeNitajie viwanja vitatu vya mpira vinavyomilikiwa na serikali pale uingereza!
Sio kwel angalia Pitch ya Kasarani ni mbovu ni mbovu sana, Nyayo una nyasi bandiaNiko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Chawa ni wajinga sana mkuu. Wanamfanya mfalme ajione hakosei.Kama nchi ndio tunakoelekea Tsh. Mambo kwa ground ni magumu na mitaji ya kufukuzia fursa wengi hatuna. Usishangae uchawa na siasa vinakua juu ya ujasiriamali. Ni suala la muda tu, kizazi kijacho hakitaikuta hii ardhi tunayoiringia na hatuitumii
Kenya hawana viwanja vinavyotambulika na FIFA.Haya, taja viwanja vya Tanzania vyenye kiwango cha kuchezea CHAN, namimi nitaje vya Kenya