makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Sio viwanja vya mpira tu, kenya wametuzidi katika vingi.
Sindio hapo sasaUkitaka ujue Watanzania watu wa ajabu kana kwamba shida za Kenya Tanzania hakuna kabisaa ni kama wanatusimulia vitu vya China wakati wenye shida hizo tunao Tanzania.
Karoho kachafu detectedPitch ya mchezo wa leo mbovu, not greenish
Vitu vingine tunakaa kimya kwa sababu ni home ukienda hapo Muhimbiri hospital watu wanaenda sana ustawi wa jamii ili kusaidiwa mambo ya malipo utaona wapo busy kutengeneza vitambulisho vya Nida shida vijana wetu wengi hizi mambo hawajutani nazo wanajua Watanzania wote wanafungua mabomba ya asali kama wao..Sindio hapo sasa
Bwege kama huyu ni wa kusamehe. Kenya karibu kila kitu wako juu. Sikiliza wanasheria wa Kenya wakijibu hoja au kufanya mijadala uone. Siyo kama huku kwetu wanasubiri Polepole azungumze halafu wanajibu ujinga ili ''mamlaka'' ziwaone.Mimi SIO mkenya, ******* kama nyie WA CCM ndio mnatukwamisha, kwahyo MTU akiongea ukweli NI mkenya wewe kweli unapakatwa
Sisi ni majizi tu yanapeleka fedha Dubai na OmanNiko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Ona haya mavy ya kijaniPitch ya mchezo wa leo mbovu, not greenish
Mnajidharau sana watanzania.Kenya long time wako juuu sanaa.....sisi kelele kujisifiaaa
Kama sanda za maiti tunaagiza Kenya na china tutawazidi nini mkuuNiko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Wameboresha Nyayo na Kasarani na wamejenga Talanta stadium kwaajili ya CHAN na AFCON.Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Wao na Sisi unaonajeWameboresha Nyayo na Kasarani na wamejenga Talanta stadium kwaajili ya CHAN na AFCON.
Ni viwanna vipya na mabaoresho ya karibuni.
Tena walichelewa sana mpka CAF wakasogeza mbele mashindano.
Sisi tuna viwanja vingi vizuri.W
Wao na Sisi unaonaje
Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Huo Nyayo upo vizuri Sana pitch yakeNairobi pekee kuna kama viwanja vitatu vikubwa
1. Talanta - uwanja mpya under construction kwa ajili ya Afcon
2. Moi Kasarani (Safaricom stadium) - huu ni wa zamani na mkubwa kama wa Mkapa
3. Nyayo - Upo mjini kati kabisa, ulikarabiwa kwa ajili ya CHAN na pengine AFCON...
Siyo Nairobi pekee.Nairobi pekee kuna kama viwanja vitatu vikubwa
1. Talanta - uwanja mpya under construction kwa ajili ya Afcon
2. Moi Kasarani (Safaricom stadium) - huu ni wa zamani na mkubwa kama wa Mkapa
3. Nyayo - Upo mjini kati kabisa, ulikarabiwa kwa ajili ya CHAN na pengine AFCON...
Umeona sasa, Sisi tunaongelea sasahv CHAN hii wewe unaongea habari ya vikiisha, mbona Taifa inafanyiwa Sana ukarabati lakini pitch bado ya kawaida Sana?Sisi tuna viwanja vingi vizuri.
Ikiisha Arusha, na Dodoma hata AFCON tunaweza kuandaa wenyewe.
Ingawa kuna wahuni huwa wanatafuna pesa za PITCH.
Kenya viwanja vipo Nairobi tu nimeona juzi Mombasa wanalalamika kubaguliwa kwa kutokujengewa kiwanja kwetu kunaHaya, taja viwanja vya Tanzania vyenye kiwango cha kuchezea CHAN, namimi nitaje vya Kenya
Hata vyote vingekua Wilaya moja, Mimi nmeulizia uzuri WA VIWANJA, ishu si vipo Kenya?? Ndio swali languKenya viwanja vipo Nairobi tu nimeona juzi Mombasa wanalalamika kubaguliwa kwa kutokujengewa kiwanja kwetu kuna
Mkapa
Chamazi
Amani na ukiweka hiki kinacho jengwa Arusha.Kenya wana Talanta Moi na nyayo na vyote vipo Nairobi