comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
KabisaNiko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Kenya long time wako juuu sanaa.....sisi kelele kujisifiaaaNiko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Achana na hiyo, angalia hii game ya zambiaPitch ya mchezo wa leo mbovu, not greenish
Mambo tunayowazidi Kenya ni kushabikia machawa na chawa ndiyo watu muhimu kibiashara kwani ndiyo hupewa endorsements nyingi, pia tunawazidi kujifanya wajuaji ilhali ni mbumbumbu katika nyanja zote za taaluma na kuwa bootlickers wa viongozi wa chama na serikali.Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Everything wako juu yetuNiko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana.
Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Nilichogundua Kenya viongozi wao washakua waoga wanajua wakiboronga WANANCHI hawakawii kuvamia ikuluMambo tunayowazidi Kenya ni kushabikia machawa na chawa ndiyo watu muhimu kibiashara kwani ndiyo hupewa endorsements nyingi, pia tunawazidi kujifanya wajuaji ilhali ni mbumbumbu katika nyanja zote za taaluma na kuwa bootlickers wa viongozi wa chama na serikali.
INasikitishaEverything wako juu yetu
Haya, taja viwanja vya Tanzania vyenye kiwango cha kuchezea CHAN, namimi nitaje vya KenyaKenya hawana maajabu ,kiwanja cha kawaida sana ..Mnapenda sana kujifananisha ,mtakuja tena eti wanahamasa ya kushangalia ...Vijana mnasumbua sana na roho za kujifananisha.
Sasa unavotaja vina viwango gani ? Kiwanja sote tumeona mbona unakuza sana mambo?Haya, taja viwanja vya Tanzania vyenye kiwango cha kuchezea CHAN, namimi nitaje vya Kenya
Nimekwambiaje???Sasa unavotaja vina viwango gani ? Kiwanja sote tumeona mbona unakuza sana mambo?
Mimi SIO mkenya, ******* kama nyie WA CCM ndio mnatukwamisha, kwahyo MTU akiongea ukweli NI mkenyaWe mkenya acha kujipendekeza kwa wanaume
Kwahiyo MTU akiandika kitu cha tofauti na mawazo ya kijani ni chadema, wengne hatuna vyamaWrite your reply...akili za chadema hivi kenya walivyokua wamehamishia mechi zao malawi hawakua na viwanja?
Kuna mafala wanatetea ujinga wananiita mkenyaTukiacha unafiki majirani wapo vizuri sana
We kila mtanzania ameshakugundua mbwa koko achana na nchi yetu, Tanzania is a great nation haina wapumbavu km ww. Halafu kubali yaishe acha ubishi.Umeona sasa ulivyo msenge kwahyo MTU akiandika kitu cha tofauti na mawazo ya kijani ni chadema, wengne hatuna vyama