mkuu mnapokuwa na share, na ikatokea mnafarakana, kuna vitu vitawaletea ukakasi kugawana.Nimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari
Lete ushahidi kama Kenya ililipia. Kuhusu aina ya ndege kuwepo, tumia akili kidogo unapochangia, sasa ulitegemea ziendelee kuwepo hadi Leo ili iweje?, zilifanya kazi zikazalisha faida ambayo ndiyo iliyotumika kununua hizi za sasa, ukipewa mtaji wa $1M ukafanyia biashara ukapa $70, isingekuwa ile $1M ungewezaje kupata $70M?
Hahahaha, EAC iliundwa 1967, wakati Tanganyika na Zanzibar ziliungana 1964 na kuzaluwa Tanzania, vipi unasema EAC iliundwa na nchi NNE, hizi bhangi umevuta SAA ngapi Leo?
You are not only arrogant but stupid as well. Hakikisha kitu kabla hujaropoka. EAC ilianzishwa 1961 japo msingi wake ulianza zamani zaidi wakati wa ukoloni. Kama unaweza kusoma soma hapa
History of the EAC
Kila mtu alichukua kilichokuwepo nchini kwake. Sisi tukapata bandari reli na hata haya makao ya Atc ukumbi wa Mkutano Arusha.
Muhimu baada ya kuvunjika iliteuliwa kampuni ya ufilisi mali na wakafanya mahesabu na kila nchi ikapata share zake ikiwamo pensheni za waliokua wafanya kazi.
Kenya wakawalipa wafanya kazi wao na hata Iddi Amin naye aliwalipa wafanyakazi wake.
Tanzania mpaka leo tumewadhulumu wananchi wetu
East Africa _____? Hili swali lako sio la kizushi, ni la kipumba kupindukia. Utaulizaje Afrika Mashariki ilikuwa ni baina ya nchi ngapi? Jibu sahihi ni nchi zote ambazo zipo mashariki mwa Afrika. Kama ilivyo kwa Afrika magharibi na Afrika kaskazini pia n.k, n.k.Naomba nikuulize swali la kizushi... East Africa ilikuwa baina ya nchi ngapi? Ukishatoa jibu ndipo utakapopingana na huyu mheshimiwa
Swali wewe ambaye una akili zaidi, wakati EAC inaanza zilikuwa nchi ngapi?
East Africa _____? Hili swali lako sio la kizushi, ni la kipumba kupindukia. Utaulizaje Afrika Mashariki ilikuwa ni baina ya nchi ngapi? Jibu sahihi ni nchi zote ambazo zipo mashariki mwa Afrika. Kama ilivyo kwa Afrika magharibi na Afrika kaskazini pia n.k, n.k.
Umiliki wa hisa za East Africa Airways ulikuwa hivi; Zanzibar: 0.7%, Tanganyika: 9%, Uganda: 22.6% na Kenya: 67.7%! E.A.Airways pia ilikuwa inadaiwa na Kenya $485.4 Million.
pingli-nywee , acha nisiwe mbahiri, nitawa-spoonfeed tu.
On 30 October 1945, the act that called for the creation of the East African Air Transport Authority, the organism that among other things would create East African Airways (EAA), was signed. With an initial £50,000 capital, ownership of the company was split between the Kenya Colony (67.7 percent), Uganda (22.6 percent), the Tanganyika Territory (9 percent), and Zanzibar (0.7 percent).
Hawakudhulumu kwani mwisho wa siku alitafutwa mtaalam ambaye aligawanya mali, raslimali watu na madeni. Kila nchi iliridhia hilo.Nimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari
Hilo hapo ni jibu langu kwa swali lako la kipumba. Kama swali lako halikuwa ndani ya hoja msingi uliliuliza la nini? 😀😀😀Akili zenu wkny na kuku hazina tofauti, rudi kwenye hoja ya msingi
Umiliki wa hisa za East Africa Airways ulikuwa hivi; Zanzibar: 0.7%, Tanganyika: 9%, Uganda: 22.6% na Kenya: 67.7%! E.A.Airways pia ilikuwa inadaiwa na Kenya $485.4 Million.
Wikipedia hata mimi nikitaka naweza edit sasa hivi,sio chanzo cha kuamini sana..MaBongolala hawawezi kutumia bongo zao kucheki kwenye mtandao, wanasubiri kuambiwa tu. Haya, kwa hisani ya Wikipedia............... Nasisitiza kwa kutumia colours, na bold type. If you can't see, I recommend you to go to school of the blind.
Management assistance from Aer Lingus was contracted in mid-1976 amid deteriorating relations between the three countries that ran the airline.[25] Financial difficulties deepened when both Tanzania and Uganda struggled or failed to pay their outstanding debts for the operations of the airline.[26][27][28] EAA operations came to a total halt in January 1977.[29][30] The airline had incurred in a debt of US$120,000,000 (equivalent to $485,403,624 in 2017) when it went into liquidation in February 1977, with the Kenyan government being one of the major creditors.[26] Both Kenya and Uganda had established their own national airlines before the folding of the corporation, with Uganda Airlines forming in 1976 and Kenya Airways in 1977.[29] Tanzania followed in April 1977 with the formation of Air Tanzania.[31]
Una takwimu zako ambazo zinaonesha kwamba Tz mlimiliki hata asilimia kumi tu ya East African Airways? Historia huwa haibadiliki, ndio hii historia na takwimu za umiliki wa E.A.A, kutoka kwa waganda. http://perilofafrica.com/uganda-remembering-latest-east-african-airways-the-evasive-revival-of-eac/aksante kwa takwimu.
lkn tunaomba utupe chanzo zake kisicho na SHAKA.
Kipindi kipi? Muungano wa E.A.C ulianza rasmi 1967 kati ya Ke, Tz na Ug. E.A.Airways ilibuniwa miaka mingi tu kabla ya muungano wa E.A.C na pia kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Unachosha sana wewe jamaa, yaani ulifungua uzi kuhusu masuala ambayo huyaelewi hata kidogo?Muungano Africa Mashariki katika kipindi hicho ulikuwa nchi ngapi? Hivi hili swali kulijibu ni ngumu sana?
Kipindi kipi? Muungano wa E.A.C ulianza rasmi 1967 kati ya Ke, Tz na Ug. E.A.Airways ilibuniwa miaka mingi tu kabla ya muungano wa E.A.C na pia kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Unachosha sana wewe jamaa, yaani ulifungua uzi kuhusu masuala ambayo huyaelewi hata kidogo?