Kumbe Khalfan Bwire na wenzake ndio walikuwa Walinzi wa Tundu Lissu wakati anaingia Tanzania Julai 28, 2020?

Namkumbuka lisu alikuja nchini kipindi Cha msiba wa BWM sas Hawa walikamatqa lini hi kesi imekaaje kaaje
 
Mbowe amewatumia laki tano ya nauli tarehe 20 July. Hiyo ni according to maelezo ya Urio.
Na Urio anasema hizo pesa ilikuwa ni refund ya nauli zao kutoka huko mikoani.

Kwahiyo kuna siku za kutosha hao watu kwenda Moshi na Kisha kurudi na Mbowe Dar kumpokea Lissu
 

Mbona hushangai file kufunguliwa mwezi mmoja kabla ya watuhumiwa kukamatwa. Mbona inaajili ma ex soldiers kwenye chama chao, kwanini iwe nongwa kwa CHADEMA?. Halafu kuhusu kukamatwa Kuna Mambo mengi yatajitokeza baadae usiwe na wasiwasi.
 
Unajua kuwa kuna hacking? Then you can change everything, halafu uipokuwa makini unaji -contradict kama ulivyyona mahakamani
 

Halafu acha uongo, hakuna nchi inaruhusu kupiga risasi watuhumiwa mpaka pale ambapo Kuna retaliation.
 
Kwani wavamizi dhidi ya lisu ni mamlaka? ulinzi wa lissu hauhusiani na mamlaka.
Ni ulinzi dhidi ya wahuni wasiojulikana.
 
Mbona hakukimbia kabla ya uchaguzi?
Baada ya kumaliza uchaguzi hakua na kazi ya kufanya tanzania hivyo akaona aondoke tu.

Hakua na kazi?. Makamu Mwenyekiti wa chama Hana kazi. Magufuri alionesha udhaifu kwa kutumia nguvu kwenye uchaguzi mkuu na kulazimisha CCM ishinde majimbo yote Kama kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa Kijiji. Kwa vitendo vilivyooneshwa kwenye uchaguzi mkuu, ilikuwa risky Lissu kuendelea kubaki Tanzania.

Kumbuka kwa Mara ya kwanza tulifanya uchaguzi huku mitandao ya internet imezimwa, kitu ambacho tulikuwa tunakishuhudia Uganda kwa museveni kikatokea kwetu. Wewe unadhani mpaka watu wanazima mitandao kwa ajili yako, sembuse uhai wako. Kwa kipindi wangeweza kumuua.
 
Sasa km alirudi tarehe 27 july, mpaka tarehe 24july hawa makomandoo walikuwa bado hawajafika kwa Mbowe, rudi kwenye massage za Mbowe na urio utaona lini Urio aliwatafuta na walipotumiwa nauli,
Mbona unabisha tu? Sasa Mbowe alituma laki tano ya nini tarehe 20 July?

Unasema tarehe 24 walikuwa hawajakutana na Mbowe. Sasa tarehe 24 mpaka 27 ji siku tatu. Mtu anatoka Morogoro mpaka Moshi na kurudi Dar.

Kumbukumbu yangu kama Iko sahihi Urio Ali kutana na hao Makomandoo tarehe 20 July kule Morogoro. Akawapa nauli zao ili waende Moshi kuonana na Mbowe.

Tarehe 27 Mbowe alikuwepo AirPort Dar. Mbona hakuna utata kabisa hapo?
 

Usichanganye mafaili, Lissu kaja July 27, Walinzi wakakamatwa August 27. Inaonekana hata kesi huifatilii.
 
Halafu utasikia misikule inamsifia dikteta muuaji Magufuli kuwa ni shujaa!
 
Ameeeen.
 
Ohooo kwa hiyo sasa nimepata jibu la hii kesi. Kumbe ni ya kukomoa makomandoo na Mbowe. Kumbe walifanya KAZI nzuri Sana kulinda viongozi wa wapinzani. Ukweli walijitoa mhanga Sana. Mungu awatetee kwa hakika.
Mungu wetu wa Mbinguni ni Mungu anayesikia na kutenda. Sifa na utukufu viwe kwake
 
Punguza ushamba, toka ujielimishe.
 
Yaani wewe ni kizibo Kweli hata km ni house girl, kwamba unakuja Siku hiyo na nakupa kazi ya kunilinda, usifanye lila mtu Taira km wewe bwana, hata Mbowe mwenyewe anakushangaa unatetea na mtu mwenye uelewa mdogo km wewe, yaani unajua maana ya Ulinzi wewe, kwanza yule anayekulinda lazima kuhakikisha trust person, sio shushu, Ni Msiri, unafaham profile yake kwa undani, yuko katika maeneo gani, aungalii tuu nimeletewa komandoo wa Jeshi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…