Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe amewatumia laki tano ya nauli tarehe 20 July. Hiyo ni according to maelezo ya Urio.Unajua kuwa Urio alikutana tarehe kati tarehe 10 mpaka 15 july ndio akamwambia issue ya kumtafutia hao makomandoo,? Unajua mpaka tarehe 24july bado makomandoo walikuwa hawajaenda kuonana na na mbowe, rudi kwenye massage za akina Mbowe na urio utaona, ni lini walitumiwa nauli.
Uongo mwingine bwana, hawa jamaa walikamatwa hata kabla kampeni hazijaanza, sasa inakuwa aje unasema kuwa ndio walikuwa wanamlinda lissu, Alafu Uwe ukawa unachukua Ex soldier ukawa unawatumia hata km ni Amerika watakuhis vibaya sana kwanza especially Wale waliofukuzwa jeshini maana itaonekana unatengeneza kikundi cha uasi. Nchi nyingine hata kesi hamna ni inapigwa risas pamoja na ex soldier wako woote
Unajua kuwa kuna hacking? Then you can change everything, halafu uipokuwa makini unaji -contradict kama ulivyyona mahakamaniUnajua kuwa Urio alikutana tarehe kati tarehe 10 mpaka 15 july ndio akamwambia issue ya kumtafutia hao makomandoo,? Unajua mpaka tarehe 24july bado makomandoo walikuwa hawajaenda kuonana na na mbowe, rudi kwenye massage za akina Mbowe na urio utaona, ni lini walitumiwa nauli.
Lissu alirudi tarehe 27 July. Hao wamekamatwa mwezi wa nane tarehe za mwanzoni.Namkumbuka lisu alikuja nchini kipindi Cha msiba wa BWM sas Hawa walikamatqa lini hi kesi imekaaje kaaje
Uongo mwingine bwana, hawa jamaa walikamatwa hata kabla kampeni hazijaanza, sasa inakuwa aje unasema kuwa ndio walikuwa wanamlinda lissu, Alafu Uwe ukawa unachukua Ex soldier ukawa unawatumia hata km ni Amerika watakuhis vibaya sana kwanza especially Wale waliofukuzwa jeshini maana itaonekana unatengeneza kikundi cha uasi. Nchi nyingine hata kesi hamna ni inapigwa risas pamoja na ex soldier wako woote
Kwani wavamizi dhidi ya lisu ni mamlaka? ulinzi wa lissu hauhusiani na mamlaka.Tufikirie tu kidogo nje ya siasa, hivi mamlaka zikikutaka ndani ya ardhi ya Tanzania kweli zinaweza kukushindwa hata kama unalindwa na Commandoz?
Kumbuka hizo mamlaka ndio zinamiliki maelfu ya makomando na silaha zote..
Si kweli eti TL aliamua kukimbia baada ya hao makomando kuacha kumlinda.
Mbona hakukimbia kabla ya uchaguzi?
Baada ya kumaliza uchaguzi hakua na kazi ya kufanya tanzania hivyo akaona aondoke tu.
Mungu fundi weweWaliojaribu kuua wametangulia wao.
Mbona unabisha tu? Sasa Mbowe alituma laki tano ya nini tarehe 20 July?Sasa km alirudi tarehe 27 july, mpaka tarehe 24july hawa makomandoo walikuwa bado hawajafika kwa Mbowe, rudi kwenye massage za Mbowe na urio utaona lini Urio aliwatafuta na walipotumiwa nauli,
Uongo mwingine bwana, hawa jamaa walikamatwa hata kabla kampeni hazijaanza, sasa inakuwa aje unasema kuwa ndio walikuwa wanamlinda lissu, Alafu Uwe ukawa unachukua Ex soldier ukawa unawatumia hata km ni Amerika watakuhis vibaya sana kwanza especially Wale waliofukuzwa jeshini maana itaonekana unatengeneza kikundi cha uasi. Nchi nyingine hata kesi hamna ni inapigwa risas pamoja na ex soldier wako woote
Ukitulia utaelewa nachomaanishahii ni dunia ya mwaka gani? Chukua nafasi kujielimisha mkuu achana na story za season na series
Aisee kumbe usione vyaelea vimeundwa. Hii inatupa picha gani nyie wataalam
Mgombea wa Chama kikuu cha Upinzani Mh Tundu Lissu alikuwa akilindwa na hawa ma x commandos yaani Khalfani Bwire, Adamu Kusekwa, Mohamed Ligwenya na wenzake.
Baada ya matishio makubwa ya usalama dhidi ya viongozi hawa wa upinzani Kamati kuu ya chama ikiongozwa na Kurugenzi ya intelijensia na Usalama ndani ya chama waliamua kutafuta ulinzi mkali na usio na doa kuhakikisha usalama wa Viongozi wao.
Hayo yamebainika wakati wa mahojiano mahakamani kutoka kwa Msomi Wakili Peter Kibatala Jana katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Imeelezwa kuwa baada ya walinzi hawa kukamatwa na kutiwa ndani hali ya usalama wa Tundu Lissu ilikuwa hati hati na ndio sababu ya Tundu Lissu kukimbilia Ulaya tena kuokoa uhai wake.
Wenzangu nyie mnaelewa sasa kinachoendelea huko?
Ameeeen.Ndio maana namchukia sana Magufuli, huyu jamaa ntamuombea dua mbaya maisha yangu yote, alikuwa na roho mbaya sana uyu mshenzi.
Mitoto inazaliwa kisha inanukishwa ugolo halafu gafla tu linaukwaa uraisi, wananchi wake hawawez kuwa salama katu.
JPM moto wa milele umuangazie na kumchoma rest of his life uko alipo
Mungu wetu wa Mbinguni ni Mungu anayesikia na kutenda. Sifa na utukufu viwe kwakeOhooo kwa hiyo sasa nimepata jibu la hii kesi. Kumbe ni ya kukomoa makomandoo na Mbowe. Kumbe walifanya KAZI nzuri Sana kulinda viongozi wa wapinzani. Ukweli walijitoa mhanga Sana. Mungu awatetee kwa hakika.
Punguza ushamba, toka ujielimishe.Uongo mwingine bwana, hawa jamaa walikamatwa hata kabla kampeni hazijaanza, sasa inakuwa aje unasema kuwa ndio walikuwa wanamlinda lissu, Alafu Uwe ukawa unachukua Ex soldier ukawa unawatumia hata km ni Amerika watakuhis vibaya sana kwanza especially Wale waliofukuzwa jeshini maana itaonekana unatengeneza kikundi cha uasi. Nchi nyingine hata kesi hamna ni inapigwa risas pamoja na ex soldier wako woote
We si ni binadamu pia..!!Duuh. Ilikuwa ubinadamu tu. Alijikwaa
Yaani wewe ni kizibo Kweli hata km ni house girl, kwamba unakuja Siku hiyo na nakupa kazi ya kunilinda, usifanye lila mtu Taira km wewe bwana, hata Mbowe mwenyewe anakushangaa unatetea na mtu mwenye uelewa mdogo km wewe, yaani unajua maana ya Ulinzi wewe, kwanza yule anayekulinda lazima kuhakikisha trust person, sio shushu, Ni Msiri, unafaham profile yake kwa undani, yuko katika maeneo gani, aungalii tuu nimeletewa komandoo wa Jeshi,Mbona unabisha tu? Sasa Mbowe alituma laki tano ya nini tarehe 20 July?
Unasema tarehe 24 walikuwa hawajakutana na Mbowe. Sasa tarehe 24 mpaka 27 ji siku tatu. Mtu anatoka Morogoro mpaka Moshi na kurudi Dar.
Kumbukumbu yangu kama Iko sahihi Urio Ali kutana na hao Makomandoo tarehe 20 July kule Morogoro. Akawapa nauli zao ili waende Moshi kuonana na Mbowe.
Tarehe 27 Mbowe alikuwepo AirPort Dar. Mbona hakuna utata kabisa hapo?