Kumbe Khalfan Bwire na wenzake ndio walikuwa Walinzi wa Tundu Lissu wakati anaingia Tanzania Julai 28, 2020?

Huko Chato wanasema mpaka màgufool anapatwa na umauti alikuwa akipokea mafunzo ya ukomandoo
 
Too late JPM yupo pazuri peponi
 
Sasa subiri wakati mashahidi wa utetezi watakapoanza kuhojiwa, hii nchi inaenda kuvuliwa nguo ya mwisho.
Watafuta kesi au kuzuia waandishi wa habari kabla haijafika huko, kesi la ovyo kila mtu anajua fake, Siro na wenzake wamekuwa kama chawa tuu wamekubali kutumika kipumbavu
 
Hawa walitakiwa kuuwawa kimyakimya
 
Huko gerezani wawekewe sumu iwaondoe taratibu
 
Makomandoo kuacha kumlinda kunaweza kuwa na indirect impact.

Kulituma signal kwa Lissu kwamba hata kama alikua anahisi yupo kwenye hatari kwa some percentages, amedhibitishiwa hilo pasipo na shaka.

Wewe ukiwa na bastola kwaajili ya kujilinda katika eneo la hatari, ghafla ukanyang'anywa ile bastola, usipochukua measure yoyote.....utakua na tatizo
 
Kumbe tatizo lako ni ubishi?

Vetting ya hao watu alifanya Urio. Mbowe alimwamini Urio.

Watu wangapi wanaagiza wafanyakazi kupitia ndugu/marafiki zao?

Umeacha kuongelea utata kwenye tarehe sasa umehamia kwingine? Nyie wauaji na mwenzenu Mwendazake ni hovyoooo
 
Swali zuri sana ila kwa upumbavu wake hatakuelewa
 
Walikamatwa August 5, pale RAU Madukani.
Ni sahihi Lakini walienda Moshi kabla ya Lissu kurejea TZ.

Na inavyoelekea kulingana na wakili wa Mbowe, walienda na Mbowe Dar kumpokea Lissu tarehe 27 July.
 
Sasa hapo walikuwa walinzi wa Lissu au Mbowe maana wote wapo
 
Ni sahihi Lakini walienda Moshi kabla ya Lissu kurejea TZ.

Na inavyoelekea kulingana na wakili wa Mbowe, walienda na Mbowe Dar kumpokea Lissu tarehe 27 July.

Hizo zibaki kuwa ni hisia/dhana zako tu, kwa sasa ibaki hivyo.
 
Mpumbavu sana wewe, you're mother's rotten cunt!!

Kwani wewe hautakufa? Hautaoza wewe?acha upambavu mbwa wewe!!

Endelea kumuombea dua mbaya mavi wewe ila ujue na wewe utakufa na kuoza tu!!

Shameless !!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ila nenda rudi, ukwel unaujua, Mbowe mwenyewe anajua ukweli, Sabaya na Mbowe wanajuana wenyewe, ninachooamin mm mpaka nitakapoenda kaburini mbowe, urio mwenyewe, makomandoo walikuwa na arufu ya uchafu walikuwa wanataka kufanya, sasa issue ikabumbuluka,, kwa hiyo kila Mmoja anapambana kujinasua kwa njia anayoona inafaa,
 
Mambo yanapofanywa na wenye mamlaka gizani hayo sio mamlaka bali ni wahuni wenye madaraka.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
mamlaka inawinda kumuua mtu bila ushahidi wala kukamatwa na ndohapo wanaposhindwa kwakuwakuna walinzi wakali.
Kwan unafikiri pia wapinzani hawawez kumuua rais? Kinachowazuia ni kuficha ushahdi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…