Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! kuvuliwa nguo ya mwisho!! Umenivunja mbavuSasa subiri wakati mashahidi wa utetezi watakapoanza kuhojiwa, hii nchi inaenda kuvuliwa nguo ya mwisho.
Too late JPM yupo pazuri peponiNdio maana namchukia sana Magufuli, huyu jamaa ntamuombea dua mbaya maisha yangu yote, alikuwa na roho mbaya sana uyu mshenzi.
Mitoto inazaliwa kisha inanukishwa ugolo halafu gafla tu linaukwaa uraisi, wananchi wake hawawez kuwa salama katu.
JPM moto wa milele umuangazie na kumchoma rest of his life uko alipo
Usichanganye mafaili, Lissu kaja July 27, Walinzi wakakamatwa August 27. Inaonekana hata kesi huifatilii.
Huyu bado hajajua wanaofanya hivyo ni vikundi vya wahuni ndani ya mamlaka.Unaamini hizo mamlaka zinaweza kujiamulia tu kumuua yeyote wakati wowote?
Acha ushamba.
Watafuta kesi au kuzuia waandishi wa habari kabla haijafika huko, kesi la ovyo kila mtu anajua fake, Siro na wenzake wamekuwa kama chawa tuu wamekubali kutumika kipumbavuSasa subiri wakati mashahidi wa utetezi watakapoanza kuhojiwa, hii nchi inaenda kuvuliwa nguo ya mwisho.
Mana POLISI walishindwa kulinda raia wao?Sasa subiri wakati mashahidi wa utetezi watakapoanza kuhojiwa, hii nchi inaenda kuvuliwa nguo ya mwisho.
🤣🤣🤣Sasa subiri wakati mashahidi wa utetezi watakapoanza kuhojiwa, hii nchi inaenda kuvuliwa nguo ya mwisho.
Aisee kumbe usione vyaelea vimeundwa. Hii inatupa picha gani nyie wataalam
Mgombea wa Chama kikuu cha Upinzani Mh Tundu Lissu alikuwa akilindwa na hawa ma x commandos yaani Khalfani Bwire, Adamu Kusekwa, Mohamed Ligwenya na wenzake.
Baada ya matishio makubwa ya usalama dhidi ya viongozi hawa wa upinzani Kamati kuu ya chama ikiongozwa na Kurugenzi ya intelijensia na Usalama ndani ya chama waliamua kutafuta ulinzi mkali na usio na doa kuhakikisha usalama wa Viongozi wao.
Hayo yamebainika wakati wa mahojiano mahakamani kutoka kwa Msomi Wakili Peter Kibatala Jana katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Imeelezwa kuwa baada ya walinzi hawa kukamatwa na kutiwa ndani hali ya usalama wa Tundu Lissu ilikuwa hati hati na ndio sababu ya Tundu Lissu kukimbilia Ulaya tena kuokoa uhai wake.
Wenzangu nyie mnaelewa sasa kinachoendelea huko?
Makomandoo kuacha kumlinda kunaweza kuwa na indirect impact.Tufikirie tu kidogo nje ya siasa, hivi mamlaka zikikutaka ndani ya ardhi ya Tanzania kweli zinaweza kukushindwa hata kama unalindwa na Commandoz?
Kumbuka hizo mamlaka ndio zinamiliki maelfu ya makomando na silaha zote..
Si kweli eti TL aliamua kukimbia baada ya hao makomando kuacha kumlinda.
Kumbe tatizo lako ni ubishi?Yaani wewe ni kizibo Kweli hata km ni house girl, kwamba unakuja Siku hiyo na nakupa kazi ya kunilinda, usifanye lila mtu Taira km wewe bwana, hata Mbowe mwenyewe anakushangaa unatetea na mtu mwenye uelewa mdogo km wewe, yaani unajua maana ya Ulinzi wewe, kwanza yule anayekulinda lazima kuhakikisha trust person, sio shushu, Ni Msiri, unafaham profile yake kwa undani, yuko katika maeneo gani, aungalii tuu nimeletewa komandoo wa Jeshi,
Ni sahihi Lakini walienda Moshi kabla ya Lissu kurejea TZ.Walikamatwa August 5, pale RAU Madukani.
Aisee kumbe usione vyaelea vimeundwa. Hii inatupa picha gani nyie wataalam
Mgombea wa Chama kikuu cha Upinzani Mh Tundu Lissu alikuwa akilindwa na hawa ma x commandos yaani Khalfani Bwire, Adamu Kusekwa, Mohamed Ligwenya na wenzake.
Baada ya matishio makubwa ya usalama dhidi ya viongozi hawa wa upinzani Kamati kuu ya chama ikiongozwa na Kurugenzi ya intelijensia na Usalama ndani ya chama waliamua kutafuta ulinzi mkali na usio na doa kuhakikisha usalama wa Viongozi wao.
Hayo yamebainika wakati wa mahojiano mahakamani kutoka kwa Msomi Wakili Peter Kibatala Jana katika kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Imeelezwa kuwa baada ya walinzi hawa kukamatwa na kutiwa ndani hali ya usalama wa Tundu Lissu ilikuwa hati hati na ndio sababu ya Tundu Lissu kukimbilia Ulaya tena kuokoa uhai wake.
Wenzangu nyie mnaelewa sasa kinachoendelea huko?
Ni sahihi Lakini walienda Moshi kabla ya Lissu kurejea TZ.
Na inavyoelekea kulingana na wakili wa Mbowe, walienda na Mbowe Dar kumpokea Lissu tarehe 27 July.
Mpumbavu sana wewe, you're mother's rotten cunt!!Ndio maana namchukia sana Magufuli, huyu jamaa ntamuombea dua mbaya maisha yangu yote, alikuwa na roho mbaya sana uyu mshenzi.
Mitoto inazaliwa kisha inanukishwa ugolo halafu gafla tu linaukwaa uraisi, wananchi wake hawawez kuwa salama katu.
JPM moto wa milele umuangazie na kumchoma rest of his life uko alipo
Ila nenda rudi, ukwel unaujua, Mbowe mwenyewe anajua ukweli, Sabaya na Mbowe wanajuana wenyewe, ninachooamin mm mpaka nitakapoenda kaburini mbowe, urio mwenyewe, makomandoo walikuwa na arufu ya uchafu walikuwa wanataka kufanya, sasa issue ikabumbuluka,, kwa hiyo kila Mmoja anapambana kujinasua kwa njia anayoona inafaa,Kumbe tatizo lako ni ubishi?
Vetting ya hao watu alifanya Urio. Mbowe alimwamini Urio.
Watu wangapi wanaagiza wafanyakazi kupitia ndugu/marafiki zao?
Umeacha kuongelea utata kwenye tarehe sasa umehamia kwingine? Nyie wauaji na mwenzenu Mwendazake ni hovyoooo
Mambo yanapofanywa na wenye mamlaka gizani hayo sio mamlaka bali ni wahuni wenye madaraka.Tufikirie tu kidogo nje ya siasa, hivi mamlaka zikikutaka ndani ya ardhi ya Tanzania kweli zinaweza kukushindwa hata kama unalindwa na Commandoz?
Kumbuka hizo mamlaka ndio zinamiliki maelfu ya makomando na silaha zote..
Si kweli eti TL aliamua kukimbia baada ya hao makomando kuacha kumlinda.
mamlaka inawinda kumuua mtu bila ushahidi wala kukamatwa na ndohapo wanaposhindwa kwakuwakuna walinzi wakali.Tufikirie tu kidogo nje ya siasa, hivi mamlaka zikikutaka ndani ya ardhi ya Tanzania kweli zinaweza kukushindwa hata kama unalindwa na Commandoz?
Kumbuka hizo mamlaka ndio zinamiliki maelfu ya makomando na silaha zote..
Si kweli eti TL aliamua kukimbia baada ya hao makomando kuacha kumlinda.