Kumbe Khalfan Bwire na wenzake ndio walikuwa Walinzi wa Tundu Lissu wakati anaingia Tanzania Julai 28, 2020?

Yaani wewe hizo msg ya laki 5, umekuja kuisikia kwa urio wakati tayari tigo na Airtel walishasema kuwa 20july, kwani refund ya ela si kutoka huko walikuwa kuja morogoro cause ndio centre kulingana na urio, ukuona mpaka tarehe 24July urio alisema ndio alikutana nao na kiwafanyia voting, usiongee km una facts boss, Kwa mawazo yako walienda moshi lini? Walienda dar lini? Walifanya mazungumzo lini na Mbowe uso uso? Waliaminika lini siku ya kwanza tuu kumwona unampa mtu kazi ya kukulinda? Then walirudi lin moshi? 5aug Walinzi walikuwa Rau na lissu wakimlinda?
 
Unadhani watu wote ndani ya malamka wakiwemo hao makomandoo wala roho ya kishenzi?.Au unadhani aliyemwambia Tundu Lisu akimbiliea ubalozini ni raia wa kawaida?.Nchi imeharibiwa sana.Mwenyezi Mungu atusaidie.
 
Siko upande wowote ila bongo hii yote yanawezekana mkuu
 
Kweli yule maiti mwendazake aliamua kuua upinzani tanzania
 
Unadhani watu wote ndani ya malamka wakiwemo hao makomandoo wala roho ya kishenzi?.Au unadhani aliyemwambia Tundu Lisu akimbiliea ubalozini ni raia wa kawaida?.Nchi imeharibiwa sana.Mwenyezi Mungu atusaidie.
Mungu atusaidie sana ile siku hatma ya Lissu ingekuwa mbaya.
 
Duh! Anyway subiri wakati wa utetezi na ukweli wote utaujua maana Inaelekea unamwamini sana huyo Urio.
 
Magufuli ni tafsiri halisi ya DIKTETA na historia itamuandika kwenye ukurasa mmoja na akina Hitler, Mussolini, Iddi Amini, Mobutu, Bokassa, Kagàme, Museveni etc.

Vitendo alivyotenda vya kudhibiti bunge, kuipangia Mahakama maamuzi, kukandamiza uhuru wa maoni ndiyo vinamfanya awe DIKTETA
 
Ila we jamaa huna exposure kabisa, pole sana. Ongeza elimu kidogo ya uraia
 
Alichokisahau tu mfu yule upinzani ni kama mti ulio kando kando ya mto ukiukata wakati wa kiangazi utachipuka tena
Ndio maana akawahishwa mbele za haki. Ingefika mahali hata sisi tungeuwawa asee
 
Ishara ya Kunyanganywa ulinzi ni mbaya sana, hata kama hauna mpango wa kuondoka kesho yakupasa kuchukua tahadhali uondoke leo, ukizingatia TL alishakoswa koswa kuuawa
 
Ila we jamaa huna exposure kabisa, pole sana. Ongeza elimu kidogo ya uraia
Wewe na mm nan ana exposure sasa. Exposure yako iko wapi au ni ya kutuletea assumptions bila facts km huu uzi ulivyo
 
Pitia hata hiyo video clip youtube ya Aljazeera ime m-describe hivyo.
 
Ishara ya Kunyanganywa ulinzi ni mbaya sana, hata kama hauna mpango wa kuondoka kesho yakupasa kuchukua tahadhali uondoke leo, ukizingatia TL alishakoswa koswa kuuawa
Yes it was High Risk Alert. It required him rapid response. Angechelewa kidogo tu hatujui kingetokea nini
 
Nyie ndio hua mnawaona wanadamu wenzenu miungu hivi. Unadhani hata mtu akiwa na mamlaka anaamua tu kujifanyia mambo? Unafikiri yule mshindani wa Lisu alipenda Lisu kufanya kampeni? Ni hakua na namna tu ya kumzuia maana na yeye angeshughulikiwa na mamlaka. Mamlaka ni chain sio show ya mtu mmoja.
 
Kwa hiyo sasa km ndio hivyo precaution lazima. Hata ukiangalia pamoja na kwamba urio alikuwa rafiki yake Mbowe mda mrefu, tahadhari zilikuwa zinachukuliwa sana na Mbowe ndio maana hata wakati wanaenda kuonana urio alisema Kuna watu walikuwa wanamwangalia kabla hajamfikia Mbowe sehemu aliko. Kwa maana hiyo kumbe hata Urio alikuwa aamini 100%, sembuse hao makomandoo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…