Mimi siongei tuu kwa sababu ninaashume mambo km wewe, unaangalia na facts, je hicho ulichosema ni sawa kulingana na facts zilizopo? Sasa wewe unaniambia tarehe 27july alienda kumpokea lissu, wakati ukiangalia tarehe 24July urio alisema alikuwa nao anawafanyia vetting, kwa akili yako walitoka kwa urio moja kwa moja wakaenda dar kumlinda Lissue, kwa akili yako tarehe 5 august walikuwa Kazini Rau wakimlinda Lissue huku walipenda starehe, kwa akili yako mtu hata ujui historia yake vizuri, hujui misimamo yake kisiasa, hujui km ni shushu au laa! Ila siku hiyo hiyo unaletewa na unampa kazi ya kukulinda na kuhifadhi siri zako, muwe mnafikiria hata kidogo jaman siyo kwenda tuu kwa mihemko