Kumbe Khalfan Bwire na wenzake ndio walikuwa Walinzi wa Tundu Lissu wakati anaingia Tanzania Julai 28, 2020?

Kumbe Khalfan Bwire na wenzake ndio walikuwa Walinzi wa Tundu Lissu wakati anaingia Tanzania Julai 28, 2020?

Uongo mwingine bwana, hawa jamaa walikamatwa hata kabla kampeni hazijaanza, sasa inakuwa aje unasema kuwa ndio walikuwa wanamlinda lissu, Alafu Uwe ukawa unachukua Ex soldier ukawa unawatumia hata km ni Amerika watakuhis vibaya sana kwanza especially Wale waliofukuzwa jeshini maana itaonekana unatengeneza kikundi cha uasi. Nchi nyingine hata kesi hamna ni inapigwa risas pamoja na ex soldier wako woote
Akili za kingono hizi. Nenda sua morogoro wako ex soldier wengi sana.
 
Usichanganye mafaili, Lissu kaja July 27, Walinzi wakakamatwa August 27. Inaonekana hata kesi huifatilii.
Siyo afatilii Mkuu ametimiza takwa la ccm kujua kusoma na kuandika tu. Hayo unayomwambia yanahitaji uwezo wa kufikili siyo kusoma na kuandika
 
Magufuli ni tafsiri halisi ya DIKTETA na historia itamuandika kwenye ukurasa mmoja na akina Hitler, Mussolini, Iddi Amini, Mobutu, Bokassa, Kagàme, Museveni etc.

Vitendo alivyotenda vya kudhibiti bunge, kuipangia Mahakama maamuzi, kukandamiza uhuru wa maoni ndiyo vinamfanya awe DIKTETA
Nakuona siku hizi umerudi CCM kumbe ndiyo nyinyi mliokuwa CCM mkiiba mali za chama JPM akawanyoosha mkakimbilia upinzani na sasa mmerudi lakini tutaendelea kuwanyoosha tu huku huku CCM hamtarudi kuiba mali za Chama anymore!!
 
Ndio maana namchukia sana Magufuli, huyu jamaa ntamuombea dua mbaya maisha yangu yote, alikuwa na roho mbaya sana uyu mshenzi.

Mitoto inazaliwa kisha inanukishwa ugolo halafu gafla tu linaukwaa uraisi, wananchi wake hawawez kuwa salama katu.

JPM moto wa milele umuangazie na kumchoma rest of his life uko alipo
Bado uko na Magufuli? Mwaka sasa unakaribia toka afariki wala hakuwahi kusema popote uko nyuma kama Mbowe alikuwa anapanga ugaidi ila yule aliyekuwa BBC alisema live bila ata kupaoasa macho kwann humchukii?
 
Nakuona siku hizi umerudi CCM kumbe ndiyo nyinyi mliokuwa CCM mkiiba mali za chama JPM akawanyoosha mkakimbilia upinzani na sasa mmerudi lakini tutaendelea kuwanyoosha tu huku huku CCM hamtarudi kuiba mali za Chama anymore!!
Mwizi wa Mali ya umma ametajwa kwenye ripoti ya CAG 2016-18 ni Magufuli mwenyewe kwa kuto account Tsh 2.4 Trillion. Njoo na hoja nyingine
 
Ndio maana namchukia sana Magufuli, huyu jamaa ntamuombea dua mbaya maisha yangu yote, alikuwa na roho mbaya sana uyu mshenzi.

Mitoto inazaliwa kisha inanukishwa ugolo halafu gafla tu linaukwaa uraisi, wananchi wake hawawez kuwa salama katu.

JPM moto wa milele umuangazie na kumchoma rest of his life uko alipo
amina
 
SUBHANALLAH.....Inna lillah wainah illahi rajiun,Sikujui ila nakutahadharisha sana wewe usije ukafikia hali iyo kuja kumuua mwaandamu mwenzako,Sie wanaadamu hatuna haki ya kumuua wala kumtesa kiumbe yeyote yule,madaraka ama cheo chako kisije kikakutia kiburi....Kwa imani yangu tu inaniambia mdudu sisimizi tu sitakiwi kumuua wala kumtesa sembuse mwanaadamu,Kumbuka kuna aliyetuumba atatuhukumu kutokana na makosa tuliyoyatenda,Kumbuka kila kiumbe hapa duniani kinamtegemea yeye,wewe kwa macho yako unawaona hao makomandoo hawafai kuishi ila ndio Muumba ameshawaumba,wewe ama wao siku yao ikifika kila mtu atakufa kwa ahadi yake Muumba na sio wewe,umekufuru sana kijana mwenzangu,fanya toba neno ulilolitamka ni baya sana mbele ya MUUMBA
Barikiwa sana Mtumishi wa Allah
 
Ndio maana namchukia sana Magufuli, huyu jamaa ntamuombea dua mbaya maisha yangu yote, alikuwa na roho mbaya sana uyu mshenzi.

Mitoto inazaliwa kisha inanukishwa ugolo halafu gafla tu linaukwaa uraisi, wananchi wake hawawez kuwa salama katu.

JPM moto wa milele umuangazie na kumchoma rest of his life uko alipo
We jamaa kha!!
 
Back
Top Bottom