SUBHANALLAH.....Inna lillah wainah illahi rajiun,Sikujui ila nakutahadharisha sana wewe usije ukafikia hali iyo kuja kumuua mwaandamu mwenzako,Sie wanaadamu hatuna haki ya kumuua wala kumtesa kiumbe yeyote yule,madaraka ama cheo chako kisije kikakutia kiburi....Kwa imani yangu tu inaniambia mdudu sisimizi tu sitakiwi kumuua wala kumtesa sembuse mwanaadamu,Kumbuka kuna aliyetuumba atatuhukumu kutokana na makosa tuliyoyatenda,Kumbuka kila kiumbe hapa duniani kinamtegemea yeye,wewe kwa macho yako unawaona hao makomandoo hawafai kuishi ila ndio Muumba ameshawaumba,wewe ama wao siku yao ikifika kila mtu atakufa kwa ahadi yake Muumba na sio wewe,umekufuru sana kijana mwenzangu,fanya toba neno ulilolitamka ni baya sana mbele ya MUUMBA