Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

Ndio ulichokuwa unakitaka mkiambiwa mtulie hamtaki majibu ndo hayo na bado unaombwa kama una maswali mengine ulete[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maswali sina na pia nimekoma maana mimi kutukana siwezi[emoji23]
 
Maswali sina na pia nimekoma maana mimi kutukana siwezi[emoji23]
Kuna Watu normally We don't entertain Nonsense na 24/7 huwa tayari tunakuwa tumeshayaandaa majibu tukuka ya Wanafiki, Wakurupukaji na Wapumbavu hapa JamiiForums.

Huwa nampokea Mtu vile ajavyo Ok?
 
Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete.

Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
Sudan hakuna muarabu pale, warabu wako misri, moroco kidogo algeria
 
Niliwashauri hapa laki mbili nauli tu ya kwenda Zambia ni wizi wa mchana hamkunielewa, haya tueleze mabasi ya Simba kwenda Zambia mpaka sasa hali ikoje?
Nauli ya zambia sh ngapi ndugu?
 
Huyu hapa
 
Mgonjwa wa Akili mwenye Utajiri wa Followers 166 ( Great Thinkers ) hapa JamiiForums huku Wewe ukiwa huna hata Mmoja tu na Mshindi was Tuzo Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa Msimu wa 2022 / 2023?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Kuwa na followers wengi tena wenye akili ndogo kama zako unalipwa tshs ngapi?
 
Nia ya Yanga ni kumtoa sio kumfunga,kama mfanyavyo nyinyi Kolo FC.Kolo FC mmewafunga Wydad,mewafunga Al Ahly ila hamkuwatoa.

So malengo yetu na nyinyi Kolo FC ni tofauti, Yanga malengo ni kumtoa mwarabu.
Aahaaaa,nimekuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…