Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

Nia ya Yanga ni kumtoa sio kumfunga,kama mfanyavyo nyinyi Kolo FC.Kolo FC mmewafunga Wydad,mewafunga Al Ahly ila hamkuwatoa.

So malengo yetu na nyinyi Kolo FC ni tofauti, Yanga malengo ni kumtoa mwarabu.
Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete.

Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
Tuache na yanga yetu tumeipenda wenyewe aise usituharibie furaha yetu ijayo nanda kashauriane na makolo wenzio
 
Wewe akili unazo? Au kichwani ni full kines
Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete.

Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
 
Nia ya Yanga ni kumtoa sio kumfunga,kama mfanyavyo nyinyi Kolo FC.Kolo FC mmewafunga Wydad,mewafunga Al Ahly ila hamkuwatoa.

So malengo yetu na nyinyi Kolo FC ni tofauti, Yanga malengo ni kumtoa mwarabu.
Na kweli mlimfunga USM tena kwao na kikombe mkachukua!Ukiwa muongo hakikisha una kumbukumbu nzuri.Mwiko nyuma.
 
Sasa ww lini uliwahi kufikia fainali ya CAF Confederation Cup?Nimeingia makundi msimu uliopita kwa kumfunga mwarabu kwenye ardhi yake.

Miaka yote unaishia robo.
 
Makundi ya kombe gani?Losers Cup.Simba ni timu ya kwanza na ya pekee mpaka sasa kuingia nusu fainali ya Champions League CAF.Simba waliwatoa mabingwa wa Afrika tena kwao Zamalek wacha hizi timu mbuzi.
Ndio maana hata bingwa wa Losers Cup hayupo kwenye Africa League inayojumuisha timu 8.
 
Lini mbona unapayuka, ulimtoa ulimfunga kwake?

Wewe mpira hata hujui na historia ya timu yako hauifahamu, yaani baaba ya kumtoa Zamalek ukaingia nusu duuu..........

Wewe hujawahi kugusa nusu fainali yoyote ya CAF si Championship wala Confederation. Mafanikio yako ya CAF ni robo. Mwakajuzi mkalitia aibu taifa kwenye hatua ya robo fainali Confederation ya kuota moto katikati ya uwanja na hamkutoboa.

Hujawahi kufika nusu.
 
Wewe ni mtoto usiyejua hata historia ya mpira wa Tanzania.Simba walimtoa Hearts of Oak ya Ghana mwaka 1974 mechi ya kwanza Simba alishinda goli 2 kwa moja.Wafungaji Adamu Sabu na Abdala Kibadeni.Mechi ya marudiano timu hizo zikatoka sare bila kufungana.
Kwenye nusu fainali Simba ikakutana na Mehala Al Kubra ya Misri.Mechi ya kwanza Simba akashinda kwa goli 1 ililofungwa na Saad Ali.Mechi ya marudiano Mehalla akashinda kwa goli 1.Simba akatolewa kwa penalti.
Historia haifutiki upende usipende.Na kama huijui basi umeanza kupenda mpira mwaka 2015.
 
Sasa wenye mashindano yao wenyewe CAF hawa kufahamu.Kama lugha inapamda basi utaielewa hii post iliyo postiwa kwenye page ya twitter ya CAF. Zingatia neno first ever unaweza kufanya hata refer kwenye dictionary ukapata maana kamili. Ila kwa ufupi ww hujawahi kugusa hata nusu fainali ya michuano yoyote ya CAF ,kwa mujibu wa database ya CAF ww hujawahi kuingia fainali.
Screenshot_20230913_212320_Instagram~2.jpg

Nakukumbusha tu moment nyingine inawezekana ww mpira huwaga u anangalia magoli.Wakati Yanga ikivalishwa medali ,Commentator wa ile mechi alisema Yanga ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza fainali ya michuano ya CAF.

Sasa hao wenye CAF yao wamekukataa,hizo mechi zilikuwa za CAF gani au CAF ya Buguruni ya Lipumba.
 
Na kweli kiingereza kinakupa tabu.Kwenye hiyo tweet umeelewa nini?Ukishindwa kuelewa omba ueleweshwe tafsiri ya hiyo tweet.
 
Nieleweshwe nini? Kwa mujibu ya hiyo twitter "kilo fc ukilikuwa unaitafuta rekodi ya kufika nusu fainali kwa mara ya kwanza, ambayo hukuwa kufikia ".

Wewe CAF wanakujua umeishia robo, kwa mujibu wa rekodi na database zao walizokuwa nazo.
 
Ngoja ueleweshwe kwani kiingereza kinakupa tabu.Mwandishi wa tweet anakusudia tokea Total Energies waanze ku sponsor mashindano ya CAF Champions League ndio maana haikuandikwa a first ever CAF Champions League semifinals.
TotalEnergies walianza ku sponsor mashindano ya CAF mwaka 2016.
Kwa ufahamu wako yalikuwa yanaitwa nini hayo mashindano kabla?Ndio madhara ya kukurupuka kwa uelewa mdogo wa kiingereza. Mazao ya shule za UPE.
 
Duu haya msikililize mwanafunzi mwengine wa UPE aliyepewa kazi na CAF kutangaza mechi ya fainali.

View: https://www.instagram.com/reel/CtEX14eKrG3/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==

First-Ever-Something that is the first ever one of its kind has never happened before.

Wewe endelea kujipa moyo ila CAF hawajui kwamba mshawahi kufika nusu fainali ya michuano yoyote wanayo andaa wao.
 
Mtangazaji amesema nini hapo?Kwa sababu ubishi wetu ulikuwa Simba kuingia nusu fainali ya CAF Champions League mwaka 1974.Kanusha hili.Lete michuano ya CAF Champions League ya nwaka 1974 ndio ilikuwa mada.Wacha kuhamisha magoli.Bado U UPE haujakutoka.
 
Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete.

Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
malengo ya kwenda makundi tayari yashapangwa,kinachoendelea ni mikakati ya kila game tutayokutana mbele...
 
Back
Top Bottom