Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

Mtangazaji amesema nini hapo?Kwa sababu ubishi wetu ulikuwa Simba kuingia nusu fainali ya CAF Champions League mwaka 1974.Kanusha hili.Lete michuano ya CAF Champions League ya nwaka 1974 ndio ilikuwa mada.Wacha kuhamisha magoli.Bado U UPE haujakutoka.
Asikuchoshe...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Makundi ya kombe gani?Losers Cup.Simba ni timu ya kwanza na ya pekee mpaka sasa kuingia nusu fainali ya Champions League CAF.Simba waliwatoa mabingwa wa Afrika tena kwao Zamalek wacha hizi timu mbuzi.
Ndio maana hata bingwa wa Losers Cup hayupo kwenye Africa League inayojumuisha timu 8.
Kamdanganye mkeo, watoto na Mamako huko, hapa umepuyanga, eti Simba kamtoa Zamalek kaingia nusu fainal CAf CL, lini na wapi? Angalia usikojoe kitandani na ndoto zako za asbh
 
Kamdanganye mkeo, watoto na Mamako huko, hapa umepuyanga, eti Simba kamtoa Zamalek kaingia nusu fainal CAf CL, lini na wapi? Angalia usikojoe kitandani na ndoto zako za asbh
Unajua kusoma na kuelewa au unakurupuka tu.Soma uelewe usisome kama kasuku.Bwege mtozeni.Sabasi.
 
Back
Top Bottom