Wana bodi .. Stika zilikuwa zinatolewa na TIRA , Siku hizi TIRA hawatoi stika hizo.. Na hapo nyuma kabla technologia haijasogea. Sticka ilikuwa ni kielelezo tu cha kuonyesha kwa vyombo vya sheria na wengineo kujua mtu amekata bima... Kwanza huyo akumbuke bima ni mkataba , kama mikataba mingine... Je ukiwa umenunua nyumba au umepanga nyumba unabandika stika kwenye nyumba ?
Kinachotakiwa na hata nchi nyingine wanafanya hivyo uwe na cover note na baadaye unapata policy kwisha... Stika ni mambo ya kizamani... Na ungeweza kuchukua number ya askari huyo ukamshtaki kwa wakubwa zake kwa kuvunja sheria ya nchi.