Kumbe kubandika stika ya BIMA kwenye kioo cha gari ni lazima, hata kama umekata BIMA yako mtandaoni

Hahahaaaa acha utani mkuu,mi naamini sheria
Sio msahafu wala biblia kwamba huwezi badili kitu kama sheria inambana mlaji lazima ishughulikiwe huwezi kuchafua gari na masticker kibao kwenye gari
Naona mnaeleweshana kitu kinachojulikana. Serikali inajua trafiki anajua marekebisho hayo. Shida ni maslahi binafsi, lengo la sheria ilikuwa kufidia anayeathiriwa na ajari (compensation) sasa serikali ikaitumia sheria hiyo Kama vyanzo vya mapato, na trafiki nao wanaitumia kuganga njaa.

Swali la kizushi, hivi faini huwa inaenda wapi, serikalini au bima?
 
Duh kwa kweli mkuu hiyo ngumu kumeza kwangu
 
Back
Top Bottom