Naona mnaeleweshana kitu kinachojulikana. Serikali inajua trafiki anajua marekebisho hayo. Shida ni maslahi binafsi, lengo la sheria ilikuwa kufidia anayeathiriwa na ajari (compensation) sasa serikali ikaitumia sheria hiyo Kama vyanzo vya mapato, na trafiki nao wanaitumia kuganga njaa.Hahahaaaa acha utani mkuu,mi naamini sheria
Sio msahafu wala biblia kwamba huwezi badili kitu kama sheria inambana mlaji lazima ishughulikiwe huwezi kuchafua gari na masticker kibao kwenye gari
Swali la kizushi, hivi faini huwa inaenda wapi, serikalini au bima?